estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Habari zenu wana,
Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.
Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.
Ushauri please