Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 390
- 702
........
Sikuwahi kufikiri hata siku moja kama kuna siku itafika kwenye maisha yangu ntafikwa na hali ya kutamani siku za mbele zisije.
Lakini ndo hivo mda unazidi kwenda mbele. Asubuhi inafika mchana unapita jioni hiyo inakuja na bado mwelekeo siuoni.
I did all things right, was very ambitious kinda person. Ila while am writing this i feel like am falling apart na moyo wangu unaniuma sana.
Labda kwa sababu nilikuwa na matarajio makubwa sana kwenye maisha yangu ndio maana napitia kipindi hiki kigumu. Bado sijui kwa kweli.
Kuna wakati huwa najiuliza is this the purpose of life? Kwanini basi wengine tangu wanazaliwa hawajawahi kuwa na maisha ambayo ni bora?
Mi sielewi haya yote ila nimeamua kuwashirikisha rafiki zangu mjue tu kwamba kuna watu bado maisha hayajawatendea vema kabisa. Ki ukweli naandika hivi nna uchungu moyoni na majonzi.
I was prepared to achieve things. Kama ni shule i studied hard and score, i behave well yaani everything i tried to do well and perfect. But now, sina chochote cha kujivunia and clock is ticking...
Poor Me.
Sina chochote cha kujivunia.huna nini mkuu,huna dem,huna kazi,huna pesa,au tatzo lako hasa ni nini?.maisha ni magumu tuu,ndivyo yalivyo so hustle hard utafanikiwa.
Asante mkuu nna 27 nowKwanza pole sana
May be I could be of a help.
Una umri gani?
Asante kwa kunitia moyoAmini tu ONE DAY YES YOUR DAY WILL COME AND WHEN IT DOES BE READY FOR IT.
Asante kwa kunitia moyo mkuuUsikate tamaa mkuu. Life has never been easy to anybody. Pambana. Kila mtu ana story yake ya kusimulia. Si ajabu pale unapokata tamaa ya kuendelea ndio unaukaribia ushindi. Resilience is key to any success mkuu.
Lakini pia hakikisha unajiwekea malengo yanayotekelezeka na kupimika kulingana na resources ulizo nazo ndani ya muda muafaka. Ila hata ukifeli, it shouldn't be the end of the world. Seat back, relax, reflect na tathmini kuona ulikosea wapi, urekebishe wapi, uboreshe wapi and ultimately unatakiwa uangalie jinsi ya kufanya differently yale uliyokuwa unafanya ili kuongeza ufanisi na kuboresha matokeo.
Kila la kheri. Usikubali mawazo yako yawe kikwazo chako cha kuzitimiza ndoto zako.
Are you sure? Please just take a piece of paper, and start mentioning all your blessings one by one. MfanoSina c
Sina chochote cha kujivunia.
Sikuwahi kufikiri hata siku moja kama kuna siku itafika kwenye maisha yangu ntafikwa na hali ya kutamani siku za mbele zisije.
Lakini ndo hivo mda unazidi kwenda mbele. Asubuhi inafika mchana unapita jioni hiyo inakuja na bado mwelekeo siuoni.
I did all things right, was very ambitious kinda person. Ila while am writing this i feel like am falling apart na moyo wangu unaniuma sana.
Labda kwa sababu nilikuwa na matarajio makubwa sana kwenye maisha yangu ndio maana napitia kipindi hiki kigumu. Bado sijui kwa kweli.
Kuna wakati huwa najiuliza is this the purpose of life? Kwanini basi wengine tangu wanazaliwa hawajawahi kuwa na maisha ambayo ni bora?
Mi sielewi haya yote ila nimeamua kuwashirikisha rafiki zangu mjue tu kwamba kuna watu bado maisha hayajawatendea vema kabisa. Ki ukweli naandika hivi nna uchungu moyoni na majonzi.
I was prepared to achieve things. Kama ni shule i studied hard and score, i behave well yaani everything i tried to do well and perfect. But now, sina chochote cha kujivunia and clock is ticking...
Poor Me.
Ushauri mzuri sana akizingatia lazma atoke mahali alipo.pole sana kijanaAre you sure? Please just take a piece, any mention all your blessings one by one. Mfano
1. Nina afya njema
2. Nina wazazi/familia na rafiki wanaonipenda
3. Nimesoma
4. Nina muonekano mzuri
5. Nimekula Leo
6. Ninaona, ninatembea, ninasikia, mikono yangu inafanya kazi etc
7. Nikiumwa Nina access na hospitali na madaktari wazuri + tiba etc
Tatizo binadamu muda wote tunapima baraka zetu kwa kuangalia possessions zetu (material things). Kuna Vitu ambavyo ni vidogo kwa macho, but vina thamani kubwa sana kwetu. Na hata siku moja usijilinganishe na waliokuzidi, bali wa chini yako. Otherwise hutojua ni kiasi gani umebarikiwa. Chukua kila nilichokimention afu angalia watu wa chini yako no wangapi wanatamani kuwa kama ulivyo wewe. Kama hujanielewa, em kesho katembelee wagonjwa hospitalini afu uone
Yes, una ndoto zako but usipotelee kwenye ndoto ambazo bado hazijakamilika ukaishi kwa masikitiko na huzuni, ukashindwa kuenjoy maisha uliyonayo mikononi mwako. Kimbiza ndoto zako, ila shukuru na kuenjoy kwa ulivyonavyo pia. Mungu hata hajakusahau, it's just a matter of time. ..