Ndugu zangu,
Leo sina furaha kabisa,sijui nikaanze tu dozi kwa sababu kwa asilimia tisi na tisa ninauhakika mwenzenu taabani.
Jana sijatumia kinga ila baada ya mechi alinieleza aliambukizwa toka akiwa tumboni mwa mama yake na pia anatumia dozi ila kwakuwa ananipenda aliamua kunificha.
Kwa kweli sijui nifanye je,ushauri wenu wakuu pia pastor masumbuko naomba busara zako za kiroho kwa haya yaliyonisibu.