Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.

But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?

Nipeni ushauri wakuu
 
Wote mmekutana ufahamu mmekopesha

She is married afu still uhusiano na baby daddy unaendelea na mnalala naye kwenye kitanda anacholala na mumewe

Unaanzaje kwenda kulala na mwanamke nyumbani anapoishi na mume wake? Vya bure vitakutokea puani. Afu si mrudiane tu ili mlane kwa uhuru na msiumize hao mlionao?
 
wewe unalala kwa mume mwenzio subiri kufumuliwa marinda
Ha ha ha aise kuna watu wanacheza michezo ya hatari, hii lazima kuna kitu kitamtokea tena hivi anatahadharishwa yeye anajifanya kuona wivu. Alafu inaonyesha ujana tu ndiyo uliwatenganisha, iweje mke alie kuwa kwenye himaya yako mpaka umezaa nae, leo ukale nae uroda kwa wizi.
 
Back
Top Bottom