Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,039
- 2,585
Salaaam,
Tofauti na enzi za mwalimuuuu ambapo wamama walio wengi walionekana kuwa walezi wazuri wa watoto katika familia zilizokuwa nyingi. Wamama wa enzi hizi za digitally wamebadilika sana, hawana tena timu ya kujihusisha na malezi ya watoto na familia kwa ujumla.
Jukumu lao wameachiwa wa baba na mahousegirl. Jamani huyu baba adamke alfajiri kwenda tafuta mkate wa kila siku, wkt huohuo afikirie watoto wameenda shule, mchana wamekula, jioni wale nini, je wameoga! Kesho kuna mchango gani shule!...?
Bila shaka baba huyu atakuwa amezidiwa na majukumu. Wakati huo wababa wakihangaika na hayo yote hawa wa mama wa kidigitali kazi yao walioipa kipaumbele na kusahau majukumu yao ya awali ni kubandika kucha bandia na kubandika nywele za wafu kichwani. Inasikitisha sana wamepoteza mwelekeo.
Zile nyimbo za Nani kama mama hazina maana tena, tunawaomba waimbaji wazibadili na kuziimba Nani kama babaaa. Hawa wamama hata wakiajiliwa hawawezi kununua hata daftari la mtoto.
Badilikeni jamani.......lol.