Rafiki yangu wa siku nyingi kafariki. Sasa huyu bwana kasoma vizuri ila usela umezidi, ndugu jamaa na marafiki tukaamua kuprint tshirt zenye sura yake kama kumuenzi kipindi cha maombolezo pamoja...
They have good looks, nice cars and beautiful houses. They've got fat wallets, glowing smiles and cute faces. They will drive an arrow of sympathy deep inside your heart. They have sweet words...
habari za wakati huu wana MMU...
Katika mahusiano kadhaa niliyoyapitia mimi ndiye niliemshawishi mwenzangu kupima HIV kabla ya kuanza kulila tunda ila mara nyingi nimechunguza wengi huwa...
1) Mwanmke anayependa kucha ndefu hasa mikononi.
2) Mwanamke aliyejichora tattoo za vipepeo, dragon, nyota au mapembe mwilini hasa sehemu ya nyuma ya makalio, kiunoni, sehemu ya kinena na...
Moyo waliopewa WANAWAKE akipewa Mwanaume hata kwa Siku tu LAZIMA AFARIKI!
Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi...
Wana JF,
Majanga niliyokutana nayo kwenye usafiri wa umma, yaani ikifika jioni siku hizi hakuna kugombania mabasi tena posta, mabasi yote kwenye mstari yakisubiri wateja, na posta ndio kuna...
Una mpenzi wako unampenda unamthamini anakukosea unapotezea tu maana unaamini kila mtu ana kasoro inatokea siku anakumwaga ila hujui kosa lako anakuambia tu unajua kuna tabia flani sikuipenda...
Wana Jf! Napenda kuuliza ila samahani kama hii ilishawahi kupostiwa hum! Ivi ikiwa unampenzi lkn mpenzi huyo anakwambia ninakupenda sana na unaweza kuxema chochote naweza kuku fanyia lkn kuhuxu...
Habarini wana JF,
Hivi ni sababu ipi ambayo hupelekea binti akiwa mjamzito kumchukia mpenzi wake ambaye ndiye baba mtarajiwa, yani unakuta anamchukia na kupanic mara kwa mara juu yake pia hamu ya...
Mi nina mke wangu sasa yapata miaka minne ila kamoja tu analala, nilijaribu siku moja kulazimisha cha pili akalia mpaka machozi hata sijaanza.
Wanawake hii usababishwa na nini hiko kimoja hata...
Jioni moja:
Mke wangu nisamehe sana,
Sikukusalimia kwa tabasamu asubuhi ya leo, na unakumbuka ulipoandaa chai mezani ukasahau kuweka sukari?Nilikugombeza.
Na je unakumbuka mchana...
Hello WanaJF,
Natafuta mwanamke aliye 'serious' na mahusiano ya kweli atakekuwa mke wangu.
muonekano 'natural beauty',mkweli, mcha Mungu, umri usizidi miaka 26, elimu angalau kidato cha nne...
Hivi ni kwanini watoto wakike mnashindwa kujiamini kwenye mapenzi mpaka mnaamua kutuendea kwa waganga.
Huu ni unyama jamani,ushirikina ndo umekuwa Silaha kubwa kwa mwanamke kwanini .
To my dash dash.....
My mahalat......
My soul.....
I don't wanna close my eyes, I don't wanna fall asleep cause I missed you baby and I don't wanna miss a thing...
Cause even when I dream of...
How are you guys? Hope you are doing well.
Friends, kwa hizi miezi tatu mimi na bibi yangu tumekuwa na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family...
Kuna rafiki yangu mmoja alipendana na binti mmoja sasa kutokana na mapenzi yao kuwa matamu na kuendelea kuimarika kila siku waliamua kula kiapo cha damu (yamini) ili wasijetengana wala...
Wana JF,
Majanga niliyokutana nayo kwenye usafiri wa umma, yaani ikifika jioni siku hizi hakuna kugombania mabasi tena posta, mabasi yote kwenye mstari yakisubiri wateja, na posta ndio kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.