Ni kweli Ubora wa mwanaume haupimwi kwa six packs?

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,344
1,790
Hakuna Faraja maishani Kama kumpa tabasamu mwanao kwa njia yeyote ile iwe kwa message au simu ,furaha ndio hazina kubwa ya maisha ya mwanadamu sababu unaweza kuitafuta Pesa utakavyo ,lakini Kama umekosa furaha Pesa haina thamani.

Ni vyema kuitunza furaha uliyonayo sababu si kila mtu ana furaha maishani,Mungu wetu ni mwema na ni mwenye haki sababu kuna wenye Pesa ila hawana furaha na kuna wenye Furaha na hawana pesa ,Mwanadamu anapofurahi hata malaika hufurahi pia.Ipe familia yako furaha na Faraja ili nyumba yako iwe hekelu la Faraja.

Kazini/Biashara yako ukikosa furaha ifuate furaha yako nyumbani ,acha stress za kazini/biashara mlangoni ingia ndani na furaha yako wape Faraja yako wanao na mkeo sababu mwanaume bora anapimwa kwa kukidhi mahitaji ya familia na sio ubora wa swagger au six packs.
1469510138805.jpg
 
kama huna we zitafute tu sio kuzipiga vita
sasa mtu ana swagga ana 6 packs na huduma zote zipo itakuwaje
 
Back
Top Bottom