Habari wakuu.
Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.
Mwanamke mrefu hasa ukitembea...
Habar wanaJF,
Naomba msaada wa kimawazo katika hili,
Ni hivi, nilikuwa na mpenzi tuliyetengana miaka miwili iliyopita, yeye alikuwa na mtu mwingine mi nikaendelea na mishe zangu. Wakati wote...
Habari wakuu!. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya uchunguzi usio rasmi kwenye jamii yetu juu mahusiano Kati ya wanawake dhidi ya wanawake wenzao Na pia wanaume dhidi ya wanawake.
Pamoja Na harakati...
Habari za siku ya leo wana jf hasa mtaa huu wa MMU
Ndugu zangu hili nalishangaa sana katika pita pita zangu nimepata mwanamke mmoja kinachonishangaza hataki tuwe wapenzi. Yeye aliniambia ana mtu...
Haharini wana jamvi,tafadhari naomba jua kiundani au kwa anaejua kiundani tabia za wanawake au wasichana wanaotokea KIRUA VUNJO hukoo uchagani wanatabia gani??
Natanguliza shukrani zangu
Mwanamke ni binadamu wa pili kuumbwa na Mungu kutokana na ubavu wa Adamu.
Mwanamke ni yule ambae huijua thamani yake angali bado mdogo aitha kwa kufundishwa na wazazi wake au kwa utashi wake...
Mpendwa, Mungu kakubariki umepata mume bora, mwanaume mstaarabu, hana makuu mkaka wa watu ila sasa wewe mwanamke kwa mdomo hujambo.
Mumeo kavunja glass bahati mbaya wewe mdomo huo unampandishia...
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
Naomba maelezo ya kitaalam ya ni nini cha ziada kilicho kwenye samaki pweza ambacho kinaongeza nguvu au kusisimua kuelekea katika tendo...ambacho kwenye samaki wengine hakipo,
Au ni imani tu...?
Salam! Hivi dunia nzimaa hamna mwanaume ambae anatulia na mwanamke mmoja maisha yake yote?
Kuna shoga yangu mmoja ni mzurii kupita maelezo na mzuri kitandani na mapishi pia na mtulivu na mpole...
Habarini wana Jf
Mimi nashangazwa na hii tabia ya vijana kutokuwa wawazi kwa wapenzi wao.
Nlishangaa kumwona kijana mmoja eti hamwambii ukweli binti kua ana mtoto ambaye wamekuwa kwenye...
Mimi mwanaume mtu mzima umri wangu kati ya miaka 45-50 Natafuta mke nina upungufu wa nguvu za kiume na nina uume mdogo kwa mwanamke anayejali tuwasiliane kwa 0714560515 au email adress...
Leo nimesafiri kuja Mwanza, sasa ile nafika airport pale Dar, nimemaliza kucheck-in napandisha ngazi kwenda kwenye lounge kuna mtu akanishika bega..kucheki ni dada mmoja ambaye tunafanya nae kazi...
Mjini shule
Kua uyaone
Hii imetokea sikukuu ya Idd nilikua nakatiza mitaa fulan amaizing nilikua nimetinga pamba kali nashine hatare
Huku nimevalia kiatu matata nilichonunua china kupitia apps ya...
Kwa kweli kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya;
1. Ukitafutwa pm hujibu meseji.
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu...
Wakuu amani iwe kwenu,
Mimi ni afisa utumishi kwenye kampuni moja hivi hapa Dar es salaam. Hivi karibuni bodi ilitengeneza nafasi 12 mpya za kazi na kuzitangaza.Viongozi waligawana nafasi nafasi...
Nina mpenzi wangu ananizidi umri kama miaka 6 ivi, yeye anamafanikio mazuri tu ambayo yanaweza kumuingizia kipato. lakini mi ndo ivyo xina kazi yoyote, xaxa kila napompigia cm hapokei na hata...
Umofya kwenyu,
Naileta kwenu hoja, naomba mnishauri waungwana.
Nimeajiriwa Serikalini huu sasa ni mwaka wa pili katika fani ya Uhandisi kwenye Halmashauri mojawapo iliyopo Kanda ya Ziwa...
Huenda nina uwezo wa kipekee.
Kila nikikutana kimwili na mwanamke, hata kama hayuko kwenye cku zake, au hata kama nimetumia kinga au withdrawal method, baada ya mda wa cku chache mwanamke huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.