Kuacha utani wanawake warefu ni wazuri sana

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,913
19,121
Habari wakuu.

Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.

Mwanamke mrefu hasa ukitembea nae njiani unajisikia ufahari. Mimi wanawake wafupi na wasio na mikia inatokea bahati mbaya tu vile nakua sina ramani yoyote kama vile simba akiishiwa nyama hula majani.

Salute kwenu wanawake warefu.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binasfi na sio kumkshfu mtu yoyote.
 
Back
Top Bottom