Kitu gani hupendi mpenzi wako akufanyie?

reicjolie

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
39
Reaction score
22
Habari wana MMU,

Tujarib share ideas hapa, hivi ni kitu gani hupendi mpenzi wako akufanyie katika mahusiano yenu?
 
Aninyime hela
it is still single..
CRDB.jpg
 
Jamani mwanaume afanye yoote akikua ataacha siwez mchunga mradi anipende, aniheshimu na anipe priority kama mtu wake madudu yake nisiyashtukie!! ila bwana Mimi sipendi anayeweka simu Password!!!...mipassword migumu unatoa weee mimacho inakutokaa [emoji32] hadi anakuta kwenye screen saver kumejiandika neno "WRONG PASSWORD"[emoji23][emoji23] unabaki[emoji15][emoji29]...kwa aibu. Hiyo ni kwa mimi binafsi ndo sipendi
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom