"Wanawake vs. Wanawake!", "Wanaume vs. Wanawake!".

"Wanawake vs. Wanawake!", "Wanaume vs. Wanawake!".

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
Habari wakuu!. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya uchunguzi usio rasmi kwenye jamii yetu juu mahusiano Kati ya wanawake dhidi ya wanawake wenzao Na pia wanaume dhidi ya wanawake.
Pamoja Na harakati nyingi zilizofanywa katika nyanja mbalimbali kumuinua Na kumwezesha mwanamke Na Wao wenyewe kushadadia kuwa mwanamke akiwezeshwa anaweza lakini nimekuja baini kuwa wanawake Wao wenyewe kwa upande Wao hawapendani Na hawako tayari kusaidiana nje ya kufahamiana.
Lakini hali Ni tofauti wanawake wanapohitaji msaada kutoka kwa mwanaume.
Katika jambo hili nimeliona kiurahisi kabisa katika usafiri wa uma(daladala), inapotokea mwanamke mwenye mtoto au ujauzito kuingia kwenye daladala akakosa kiti cha kukalia, basi Ni rahisi Sana kwa manaume mmojawapo (wa umri wowote) kuinuka Na kumpisha mwanamke mhitaji kuliko wema huo huo kufanywa Na mwanamke mwezake hata kwa kuombwa!.
Katika uchunguzi wangu huo usio rasmi nikafanikiwa kupata hitimisho kuwa rafiki wa kutumainiwa kwa mwanamke mhitaji Ni mwanaume Na Si mwanamke mwenzake!.
Kwa mwenye nyongeza anakaribishwa kuchangia Na nipo tayari kukosolewa kwa sababu uchunguzi usio rasmi unaendelea. Nawasilisha.
 
Sasa we we mwanaume ukimpisha seat si inatosha tu, mambo ya wanawake waachie wenyewe haakuhusu ka unataka kujua na we we anza kwenda mwezini ndo utajua.
 
Sasa we we mwanaume ukimpisha seat si inatosha tu, mambo ya wanawake waachie wenyewe haakuhusu ka unataka kujua na we we anza kwenda mwezini ndo utajua.
"... Mambo ya wanawake, waachie wanawake wenyewe..." Umenichekesha mwaya!

Kaka ...
 
Sasa we we mwanaume ukimpisha seat si inatosha tu, mambo ya wanawake waachie wenyewe haakuhusu ka unataka kujua na we we anza kwenda mwezini ndo utajua.

mbona umepaniki dada????
 
Mkuu, version ya uchunguzi 'rasmi' inatoka lini ?

-Kaveli-
 
Teh Teh huwa wananifurahisha tuu kwa kuitana sweet hat, Mara mpenzi Mara darling alafu akimpa kisogo anamng'ong'a ....au unakuta labda picha insta anakoment vzuri utasikia " umependeza mumy" alafu mdomon anasema mmmh Mara halijamkaa vzr.....

Anyway ndivyo ilivyo....hata wanaume vs wanaume na wanaume vs wanawake mwanaume ni mwepes kumsaidia mwanamke mwingine
 
Wanawake sie alieturoga ashakufa,utakuta hata ugomvi haumhusu lakin atakavyoshadadia na namba ataomba ili apewe ubuyu au kutombwa kabisa

Hahaaa... Naona umenena yaliyojikita ndani, mvunguni kabisa mwa moyo wako!.[emoji3]
 
Back
Top Bottom