ericjames574
Member
- Aug 30, 2015
- 44
- 32
Kwa kweli kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya;
1. Ukitafutwa pm hujibu meseji.
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu mwingine.
3. Ukipokea simu unajifanya hulijui hili jukwaa.
4. Kuna wengine hasa wanawake hawatafuti wapenzi wapo tu kwa ajili ya kuwakatisha watu tamaa na kuwapiga vizinga.