Mchuzi wa pweza una nini cha ziada cha kuongeza nguvu za kiume?

Yrsozigwa

Member
Oct 24, 2014
34
5
Naomba maelezo ya kitaalam ya ni nini cha ziada kilicho kwenye samaki pweza ambacho kinaongeza nguvu au kusisimua kuelekea katika tendo...ambacho kwenye samaki wengine hakipo,
Au ni imani tu...?
 
Hizi ni imani za waswahilina,washirikina .
Protini yeyote inaongeza mbegu za kiume na kike pia.
Sasa ni sawa na aliyekunywa kikombe cha babu akasema amepona kwa imani.
Dar watu wanaangalia sana ngono,wakiona ile michapano na wao wanataka kwenye ndoa iwe hivyo kumbe wale ni selected persons ,wamefunzwa,wametibiwa na kupewa mafunzo maalum,pia wanachukua mtu mwenye uume,uke mzuri,usijaribu kuleta mambo ya porn kwenye ndoa bongo
 
Mkuu sea species wote wanasaidia sana kunako tendo la ndoa.hata samaki hao wanasaidia sana .kuhusu mchuzi wa pweza kazi yaki ni kuzibua mishipa yote ya ndani ya mwili(nikisema yote nadhani unaelewa)
 
Malalamiko mengi Upungufu wa nguvu za kiume ni imani,si uhalisia. Ni kukosa kujiamini kwa mwanaume. Mara moja au mbili hivi ukishindwa kufanya show,unaanza kuwa na hofu,tena kama itakukuta kwa nyapu mkali uliyemfanyia timing muda.
 
Ina madini ya Zinc kwa wingi

Zinc can help with your sexual health and libido.
The role of zinc in sexual health and libido is partly related to the impact of the mineral on testosterone. That is, the boost in T levels associated with zinc supplementation can lead to enhanced sexual health and sex drive. If you are experiencing erectile dysfunction that is associated with low testosterone, then zinc supplementation may contribute to resolving your erectile challenges.

In a 2010 review of studies concerning sexual health and function among individuals with kidney disease, which is a common occurrence among this population, reviewers looked at the impact of taking zinc supplements. They reported that use of zinc supplements can not only increase testosterone levels but also improve the potency and frequency of sexual intercourse.
6 Benefits of Zinc for Men’s Health - Prostate.net
 
Mkuu sea species wote wanasaidia sana kunako tendo la ndoa.hata samaki hao wanasaidia sana .kuhusu mchuzi wa pweza kazi yaki ni kuzibua mishipa yote ya ndani ya mwili
kuzibua mishipa kwani mishipa huwa imeziba? hahahaaa...

Lakini, hata kama inazibua, swali ni, pweza ana nini kinachozibua mishipa?

Which is a very rare and uncanny question, Waafrika huwa hatuna haja ya kujua mzizi ulio prescribe-ibiwa una nini cha mno. Never!
 
Ina madini ya Zinc kwa wingi

Zinc can help with your sexual health and libido.
The role of zinc in sexual health and libido is partly related to the impact of the mineral on testosterone. That is, the boost in T levels associated with zinc supplementation can lead to enhanced sexual health and sex drive. If you are experiencing erectile dysfunction that is associated with low testosterone, then zinc supplementation may contribute to resolving your erectile challenges.

In a 2010 review of studies concerning sexual health and function among individuals with kidney disease, which is a common occurrence among this population, reviewers looked at the impact of taking zinc supplements. They reported that use of zinc supplements can not only increase testosterone levels but also improve the potency and frequency of sexual intercourse.
6 Benefits of Zinc for Men’s Health - Prostate.net
Very insightful source of information on Zinc and its health benefits.

Lakini ni wapi hapo waliposema pweza ama mchuzi wa pweza una madini ya Zinc?
 
Mi nilikunywa siku 1 hapo katalunya. Sina maelezo mengi ila kulikuwa na utofauti japo sio wa kutisha labda kwa sababu nilikunywa mara 1
 
Sinnasikiaga wanaekaga viagra

A. Rahabu ni kweli.

Nina jamaa yangu ana pharmacy wauza supu ya pweza ndiyo wateja wakuu. Kibaya zaidi ni hizi low quality viagra ambazo kwa kweli kana unashida ya moyo ni matatizo, japo kwa kiasi cha viagra wanachonunua, wingi wa supu una neutralize.
 
Malalamiko mengi Upungufu wa nguvu za kiume ni imani,si uhalisia. Ni kukosa kujiamini kwa mwanaume. Mara moja au mbili hivi ukishindwa kufanya show,unaanza kuwa na hofu,tena kama itakukuta kwa nyapu mkali uliyemfanyia timing muda.
Huu ndo ukweli. Ila hofu ikishampata mtu, njia ya kuondokana nayo ni ipi?
 
Back
Top Bottom