kakamtumishi
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 192
- 240
Habar wanaJF,
Naomba msaada wa kimawazo katika hili,
Ni hivi, nilikuwa na mpenzi tuliyetengana miaka miwili iliyopita, yeye alikuwa na mtu mwingine mi nikaendelea na mishe zangu. Wakati wote hiyo miaka miwili mi nilikuwa mkoa tofauti na yeye, sasa niliporudi yeye akata tuyarudishe mahusiano akanibembeleza sana na kuniambia yule mtu wake wameshaachana na akanithibitishia hilo kwamba ameachana naye baada ya kuniona mm kwa sababu ni mtu pekee anayenipenda kwa dhati na anajickia faraja akiwa kwenye uhusiano na mm kuliko yule ambaye aliyekuwa naye.
Basi kutokana na usumbufu aliokuwa anauleta na kuwatuma watu wamuombee msamaha na wakati mwingine kuja kugonga kwangu saa sita za usiku nikaamua kurudisha moyo na kuwa naye.
Sasa tukiwa tena kwenye mapenzi nilikuwa natumia zana japo yy anasema huwa zinamletea maumivu sana, sasa juzi nikiwa nakula tunda akalalamika zana zinamuumiza basi ikabidi niache kutumia.
Nmetembea tatu bila zana na asubuh naamka nahisi maumivu kwenye mashine nikichek kuna mchubuko, sasa nimechanganyikiwa sijui kama afya yangu itakuwaje mana miaka miwili ni mingi na sijui mwenendo wake hapo kwa miaka miwili mana nilimpeleleza kabla sikurudiana naye watu wa karibu walinambia ametulia, sasa sijui nifanyaje mana sijaenda kupima mpaka leo ni siku ya tatu.
Msaada wa kimawazo jama.