Kama kuna mwanamke hashiki kabisa mimba, aje 'nimhudumie'

  • Thread starter Usedcountrynewpipo
  • Start date

Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
3,686
Likes
2,189
Points
280
Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
3,686 2,189 280
Huenda nina uwezo wa kipekee.
Kila nikikutana kimwili na mwanamke, hata kama hayuko kwenye cku zake, au hata kama nimetumia kinga au withdrawal method, baada ya mda wa cku chache mwanamke huyo atajihisi ana mimba!
Sasa kwa kuwa hili limeshatokea mara kadhaa, linanipa sababu za kuamini kuwa nina uwezo wa kipekee wa kumfanya mwanamke 'ajihisi' mja mzito jambo ambalo linaweza kuwa la faraja kwa wanawake wenye tatizo la kupata mimba.
NB: Ikumbukwe furaha ni hisia. Hata kama hataweza kupata mimba yangu, kile kitendo tu cha kuhisi kuwa 'kaumuka' kitamuongezea faraja.
 
Me too

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Messages
3,628
Likes
2,493
Points
280
Me too

Me too

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2015
3,628 2,493 280
Biashara bila matangazo haiendi, asante tangazo tumeliona watakuja huko PM
 
torvic

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
1,972
Likes
3,475
Points
280
torvic

torvic

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
1,972 3,475 280
kama vip waambie wadau mpaka saiv utakua umepachika mimba ngap na kipaji chako iko
 
P

patrickkkkky

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
474
Likes
27
Points
35
P

patrickkkkky

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
474 27 35
CC sepe tungaa mama ubaya
 
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Messages
818
Likes
610
Points
180
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2014
818 610 180
Huenda nina uwezo wa kipekee.
Kila nikikutana kimwili na mwanamke, hata kama hayuko kwenye cku zake, au hata kama nimetumia kinga au withdrawal method, baada ya mda wa cku chache mwanamke huyo atajihisi ana mimba!
Sasa kwa kuwa hili limeshatokea mara kadhaa, linanipa sababu za kuamini kuwa nina uwezo wa kipekee wa kumfanya mwanamke 'ajihisi' mja mzito jambo ambalo linaweza kuwa la faraja kwa wanawake wenye tatizo la kupata mimba.
NB: Ikumbukwe furaha ni hisia. Hata kama hataweza kupata mimba yangu, kile kitendo tu cha kuhisi kuwa 'kaumuka' kitamuongezea faraja.
Nimecheeeka mpaka chozi. We mzima? Kwani hujawahi ugua kichaa huko nyuma?
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
29,441
Likes
82,578
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
29,441 82,578 280
Kama mwendo kasi wako ni huu basi wanaopata UKIMWI ni either wameandikiwa au wanalogwa.
 
Wapoti

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
2,820
Likes
426
Points
180
Wapoti

Wapoti

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
2,820 426 180
We lazima ulipataga ajali ya toyo ukaangukia kichwa nahisi damu iliyoganda kichwani kwako imekaribia kugusa ubongo
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
15,950
Likes
22,400
Points
280
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
15,950 22,400 280
Uvutaji wa shisha unawaendesha sana kasi hawa vijana wetu wa Dar!
 
Kakole

Kakole

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,097
Likes
1,669
Points
280
Kakole

Kakole

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,097 1,669 280
wewe utakuwa unasingiziwa mimba kama sikosei
 
sab

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
4,870
Likes
3,144
Points
280
sab

sab

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
4,870 3,144 280
Mmmmh au unawaweka amira, maana kama mimba tu alafu hakuna kitakacho zaliwa basi hakuna maana ya mimba, lol
 
Hamis Juma

Hamis Juma

Verified Member
Joined
Nov 4, 2011
Messages
2,085
Likes
1,981
Points
280
Hamis Juma

Hamis Juma

Verified Member
Joined Nov 4, 2011
2,085 1,981 280
Si nilisikia utumiaji shisha umezuiwa?
 
K

kwini kimbwala

Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
40
Likes
11
Points
15
Age
38
K

kwini kimbwala

Member
Joined Jul 31, 2016
40 11 15
Dr kanyas mtaalamu wa mitishamba asili kwa dada asieshika mimba anitafute 0744069527
 
victor moshi

victor moshi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
642
Likes
472
Points
80
victor moshi

victor moshi

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
642 472 80
Hahaha kweli jf hai board mtu..
 

Forum statistics

Threads 1,235,940
Members 474,901
Posts 29,241,061