Jamani naombeni ushauli juu ya hili swala...

Alfred88

Senior Member
Jul 25, 2016
125
58
Nina mpenzi wangu ananizidi umri kama miaka 6 ivi, yeye anamafanikio mazuri tu ambayo yanaweza kumuingizia kipato. lakini mi ndo ivyo xina kazi yoyote, xaxa kila napompigia cm hapokei na hata akipokea ananambia anakazi (mchana) uxiku pia ananambia anackia ucngizi. Lakini nimekuwa nikivumilia mda wote huo hatonitafuta mpaka ntakapo mtafuta mm. Na mm bado nampenda xana tu, nimexhindwa nifanyaje pindi nilipomwambia alinifokea xana xaxa naokopa kumwambia tena xababu nahixi ntamuudhi. Naomben mnixaidie mawazo yenu jamani.
 
Tafuta hela kwanza achana na hawa kamongo huwezi kuwavua bila pesa lasivyo ukubali kushikilia miguu wenzako wanakula
 
Ndo ukafanye kazi wanawake wakishakuzid kipato wanataka wawe Huru hapo jua kuna mwenzako anapendwa na we unaonekana mzigo
 
Ushauli=ushauri
Naokopa=naogopa.

Mkuu kwa dalili ninazoziona hapo ni kwamba hakuna mapenzi we jipange na wa level yako... Yan hapo unapigwa kibuti kimya kimya.. Jiandae kisaikolojia ndugu , tafuta kimwali kingine utulie nacho
Alaf mtoto wa kiume jikaze u-make pesa la sivyo watoto wazuri utaishia kuwaita shemej tu
 
Back
Top Bottom