Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Habari za siku ya leo wana jf hasa mtaa huu wa MMU
Ndugu zangu hili nalishangaa sana katika pita pita zangu nimepata mwanamke mmoja kinachonishangaza hataki tuwe wapenzi. Yeye aliniambia ana mtu wake baada ya kumsoundisha. Sasa siku moja alinialika niende kwao na mimi nikaenda. Nilipofika kwao nikaa na mama yake tukapiga story za hapa na pale mwisho wa siku mimi nikaondoka. Kinachonisahngaza anataka tuwe marafiki na kusema ukweli mimi nilitaka nipite tuu. Baada ya jitihada zangu za kutaka kuchinja zikashindikana sasa anataka tuwe marafiki. Nishampotezea lakini bado yupo tu mimi sasa sijajua ana taka nini kwangu na mimi shida yangu nikule nikimbie. Naomba mnieleweshe maana ya kutaka urafiki ni nini au apate kutoka kwangu? na kwanini mimi natambulishwa kila sehemu kama kaka wa kudownload mimi nimeshindwa naona nazidiwa akili.