Bado sijapata mchumba

AnnaG

Member
Feb 28, 2016
37
33
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
 
Jaribu tu kuzoea maisha ya kuishi bila ndoa. Ni ngumu lakini ndio hakuna namna. Hakuna mwanaume aliye single kwenye umri huo unaotaka. Hivyo usiendelee kupoteza muda wako na muda wa watu wengine.
 
Naona ktk makanisa ya siku hizi wanatangaza maombezi kwa wanaohitaji wachumba, ndoa, safar za ulaya bila kujali elimu nk.
Jaribu bahati yako ndg yang.
 
Jaribu tu kuzoea maisha ya kuishi bila ndoa. Ni ngumu lakini ndio hakuna namna. Hakuna mwanaume aliye single kwenye umri huo unaotaka. Hivyo usiendelee kupoteza muda wako na muda wa watu wengine.
Maadam sijapoteza wa kwako uwe na amani
 
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakn mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Jaribu pm
nimekidhi vigezo ila unapendelea mwembamba au mnene nisije kujisumbua?
 
Ni vizuri kwamba unahitaji mume mwenye vigezo fulani. Please naomba uni pm tufahamiane zaid, nitakua na sifa unazohitaji na natafuta mchumba kama wewe.
 
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
Huo umri kupata aliye single ni mtihani,punguza kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom