Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,980
- 3,579
Mjini shule
Kua uyaone
Hii imetokea sikukuu ya Idd nilikua nakatiza mitaa fulan amaizing nilikua nimetinga pamba kali nashine hatare
Huku nimevalia kiatu matata nilichonunua china kupitia apps ya KIKUU.
Basi ukijumlisha na ile chain ya gold sikushangaa kuitwa majina matamu hapa jijini.
Nirudi kwenye mada wakati nakaribia kuingia serena hotel nikasikia sauti
vipi ? Sikugeuka nikasikia tena Assalam allekum!! Basi nikageuka bila ya kuitika salam! Nakutana uso kwa uso na Masai akaniambia fipi rafiki unataka dawa nikamjibu hapana kwa kutikisa kichwa
Akauliza tena hutaki dawa za ngufu sa kiume? Nikatabasamu nikamjibu hapana?
Kabisa sikubaliani na njia hii ya hawa jamaa ya kufanya biashara za dawa kwa kuhoji wapita njia??
Kuna wengine hupita nyumba hadi nyumba na kushawishi vijana kuhusu dawa za kuongeza nguvu hii pia haijakaa poa??
Kidogo niliona soo kuulizwa kama nataka dawa za kuongesa ngufu!!!! Nashukuru mrembo niliekua naye kiswahili hakipandi vizuri iyo ndio ilikua ahueni kwangu.
Niwahase ndugu zangu hizi dawa za wamasai sio nzuri za kutumia kiholela kwani wanachanganya mizizi yenye sumu kali hivyo kuweza kuharibu ini pia kuhatarisha uwiano wa viungo vya mtumiaji.
Wauza dawa kama hawa hawatoi huduma. Wanasaka Pesa.