Nambeni mbinu za kupata one night stand kutoka kwa huyu dada

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,873
4,274
Leo nimesafiri kuja Mwanza, sasa ile nafika airport pale Dar, nimemaliza kucheck-in napandisha ngazi kwenda kwenye lounge kuna mtu akanishika bega..kucheki ni dada mmoja ambaye tunafanya nae kazi. Ameajiriwa tu fresh from school yapata miezi mitano iliyopita. Ni chuma cha pua huyu dada, mcheshi na anaongeaga na kila mtu. Yaani anazoeana na watu haraka.

Kumbe na yeye anakuja Mwanza kikazi, ila ni kazi tofauti na ya kwangu.

Sasa since wakatu huo hadi sasa tumefika, bado nawaza jinsi ya kupata a one night stand kutoka kwa huyu dada.

Nilichofanya hadi sasa, nimemdanganya kuwa mimi kuna jamaa atakuja kunichukua lakini amechelewa, so nimeacha mizigo kwenye room yake ya hotel, kwa madai kwamba baadae nitaifuata. So as i'm writting mizigo yangu iko chumbani kwake. Na nimemwambia jamaa akija nitampigia nikachukue mizigo akasema poa hamna shida yeye hana mpango wa kutoka.

So niko hapa natafakari next step. Tafadhali naombeni msaada.
 
Ushauri gani huu unaomba asee.

Kwanza hayo mambo hayana formula, utakachofundishwa humu utajaribu kuki practice uonekane kituko cha mwaka. Kama umedhamiria kufanya hayo kweli ni kitu cha kuomba namna ya kukifanya kweli?

Kweli acheni wanaume wa mikoani wawaseme wanaume wa dar
 
Usisahau hii kitu mazee!
Durex_Performa.JPG
 
Leo nimesafiri kuja Mwanza, sasa ile nafika airport pale Dar, nimemaliza kucheck-in napandisha ngazi kwenda kwenye lounge kuna mtu akanishika bega..kucheki ni dada mmoja ambaye tunafanya nae kazi. Ameajiriwa tu fresh from school yapata miezi mitano iliyopita. Ni chuma cha pua huyu dada, mcheshi na anaongeaga na kila mtu. Yaani anazoeana na watu haraka.

Kumbe na yeye anakuja Mwanza kikazi, ila ni kazi tofauti na ya kwangu.

Sasa since wakatu huo hadi sasa tumefika, bado nawaza jinsi ya kupata a one night stand kutoka kwa huyu dada.

Nilichofanya hadi sasa, nimemdanganya kuwa mimi kuna jamaa atakuja kunichukua lakini amechelewa, so nimeacha mizigo kwenye room yake ya hotel, kwa madai kwamba baadae nitaifuata. So as i'm writting mizigo yangu iko chumbani kwake. Na nimemwambia jamaa akija nitampigia nikachukue mizigo akasema poa hamna shida yeye hana mpango wa kutoka.

So niko hapa natafakari next step. Tafadhali naombeni msaada.
Makubwaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom