Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wadau, Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale...
7 Reactions
198 Replies
29K Views
Jamaa yangu kanisimulia; :=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika familia yenye upendo na amani.Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya...
10 Reactions
123 Replies
12K Views
Ni miaka takribani sita tangu nilipokuwa nakula tunda la binamu yangu, iko hivi wakati wa likizo zangu zote nilikuwa nakuja kumtembelea mjomba wangu ambaye alikuwa hapa dsm. alikuwa akinipenda...
2 Reactions
31 Replies
34K Views
Habari za wakati huu...poleni na mfungo... Rafiki yangu wa karibu amepatwa na mkasa huu au niseme mtihani huu kwenye maisha yake.....Rafiki yangu huyu aliangukia katika penzi la mwanadada mmoja...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Hii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
9 Reactions
117 Replies
102K Views
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu...
3 Reactions
20 Replies
15K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu JF, Poleni kwa pilikapilika za maisha na matamko/miluzi mingi inayoibuka kila kukicha.Leo hii nataka tutathimini hizi mbwembwe wanazokua nazo akina dada kwa wachumba...
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Wajameni naezaje kupata Mawasiliano ya msg kwenye simu ya mtu kwa miezi kama 6 kupitia kampuni za simu Inawezekana?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii hali nimeishuhudia katika familia nyingi. Unakuta katika familia kuna mtoto ambaye anapendwa kuliko wengine na kufanyiwa kila kitu anchotaka na hata akikosea huwa haadhibiwa na katika hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nimefanikiwa kuoa mwaka 2006 tulifanikia kupata mtoto wa kwanza akafariki kwasasa tunawatoto 2 tulio pata baada ya huyo kufariki kilicho nileta hapa nikuja kuomba ushauri kuhusu tabia za huyu...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Jamani dunia hii ina mambo sana, wanadamu wamekuwa kama wanyama. Twende kwenye mada. Tulizaliwa katika familia ya kikristo, mama na baba yangu wote walikuwa wakatoliki. Kuna kipindi mama yangu...
14 Reactions
121 Replies
13K Views
habari wanajamvii.......... Maisha yamekuwa magumu sana hasa kwenye kuchagua wenzi wetu wa maisha katika karne hii (kizazi cha dot.com). kumekuwa na matamanio na matarajio ya mafanikio ya mambo...
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Jamaa alikuwa na mke wa mtu guest house akila mzigo, sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa bodaboda wa siku zote aliyemzoea kuwa aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Hellow JF? Leo nataka nizungumzie suala la kudumu kwenye ndoa, tumeona wazee wa zamani wamekuwa wakidumu kwenye ndoa kushinda vijana wa sasa. Ndoa za sikuhizi kudumu hata miaka miwili imekuwa...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wanaJF, Nina ndugu yangu ni degree holder tangu 2013 hana kazi yoyote kasaidiwa sana na wanafamilia angalau afanye biashara hataki ye anataka kazi. Tatizo lake sasa ni mlevi kupindukia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wapendwa, ukimpata mwanamke ambaye yuko willing kuspendi hata kiasi kidogo cha pesa yake kwa ajili yako, Huyo msichana chumbia siku hiyo hiyo bila kujali sura, elimu wala historia yake ya nyuma...
8 Reactions
63 Replies
5K Views
''Wewe ndio nitakupa kazi ya kuigiza hii tamthilia na nitakubadilishia maisha yako ukinikubali'' Haya ni maneno aliyoambiwa mtoto wa dada yangu ambaye anataka kuanza kazi ya kuigiza filamu za...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Wana JF, Nimeona hili niliongelee , wakina mama wengi wamekuwa na tabia ya kutojali miili yoa, miili yao wanaiachia hovyo hovyo inang'atwa na mbu, sisimizi , kunguni, chawa huku wao wamekazana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu wasalamu Zile zama za kufikiri kua wazee wakati umewatupa kwenye mashamsham ya kugegeda ni tofauti kabisa na hali ilivyo. nilikua nakunywa supu usiku mtaa mmoja maarufu mji,akaja mzee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom