Natafuta rafiki jinsia zote me na ke,wa kunipa kampani na kunitembeza kuongea nae hapa mjini Iringa nipo mpweke sana sina rafiki sehemu napokaa.embu tufahamiane na kutembezana hapa mjini wakuuwa...
Katika matukio mengi ya mafumanizi wanaume ndio wanaopewa adhabu kali ikiwapo kupigwa mawe, kufanyiwa vitendo vya kifirauno na mambo mengine ya kikatili. Sasa nauliza kama mkeo umemfuma akizini na...
Mapenzi ni ubunifu mapenzi hayana uchafu, mapenzi yanahitaji maandalizi ingawa wengine mnawapa shida sana wapenzi wenu kuwaandaa maana hamuandaliki. Unaweza kutamani kumuandaa vizuri kwa...
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma
Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia
mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA
umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba
huko...
Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa utasikia "MIMI NAWAOGOPA WANAUME", ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana, ukiuliza kwanini unawaogopa...
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.
Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na...
Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na...
Ukiona mpenzi wako amekuandikia meseji, ''nimekukumbuka sana, Ive realized I still love you and I miss you so much'', ametumia tu tafsida, maana halisi ya meseji yake ni,''ewe mpuuzi, nimemiss...
Hebu wana MMU tuliongelee hili kidogo sijui kama lina ukweli wowote.
Eti bidada akiwa mpishi mzuri wa chakula yaani kina ladha nzuri, kuna watu wanadai kuwa hata kitandani pia anakuwa ni mtamu...
Jamani habari zenu,
Naombeni ushauri about hii kitu,
Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni...
Habari ya weekend wana jf,
Tangu nikiwa mdogo kijijini hukoo nilikua najiwazia siku nikipata ela nitanunua gari kwanza, wala sio nyumba, nilitamani siku moja na mimi niende na gari kijijini...
Bwana mmoja mfanyabiashara aliishi na mke wake kwa muda wa mwaka mmoja bila kufanikiwa kupata mtoto, kwa kuwa jamaa ana uwezo kidogo na yeye ndiye jicho la familia, mama mkwe na mawifi wakaanza vi...
Habari za jumapili wadau?
Ni hivi nimepatwa na changamoto kidogo katika maisha yangu.
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja takribani mwaka mmoja sasa na malengo yetu ni kuja kufunga ndoa mwakani...
Habari za jioni wana MMU,
Mimi ni mfanyakazi katika benki moja maarufu nchini, nafanya kazi katika moja ya matawi yake mkoani Mwanza. Nimeoa na nimebahatika kupata watoto wawili. Mke wangu ni...
Unakuta jitu na akili zake linajisifu bila haya wala woga, "mimi msichana wangu wala hana wivu yaani yuko peace kinoma" Aliyekwambia yuko peace nani? Ukiona mwanamke hana wivu na wewe ujue huna...
Tafuta Mtu ambaye UNAMPENDA na UNAMTAMANI kila unapomuona. Kama unapenda inye basi tafuta mwenye inye. Maswala ya kujifanya umezama dimbwini na mtu"A liye Anguka Bafuni" halafu ukikumbana na inye...
Masistaduu wanaopenda kuolewa lakini wana mawazo mgando kwamba ile sio chakula, kwamba sex ni mateso na utumwa na kwanini nimpe kila siku, ukiwauliza wanasema kwani ndo kitu pekee jamani, kuna...
Kwa takwimu nilizozikusanya inaonekana wadada wengi wako radhi kutafutiwa wapenzi na marafiki zao wa karibu au na marafiki zao wa kiume ambao wanaonekana kuwa ni mfano wa kuigwa kwenye jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.