Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana Jf, Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyakazi. Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing. Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa...
3 Reactions
122 Replies
15K Views
Wadau baada ya kumaliza kidato sita miaka michache iliyopita nilikwenda kwa bro mkoani Tanga.Bro alikuwa amepanga nyumba nzima maeneo ya Nguvu Mali mitaa ya Ikulu ambapo moja ya majirani alikuwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Hii ni post yangu ya mwisho humu JamiiForums. Natoa dukuduku la mwisho. Unakuta mdada upo njiani au barabara yenye magari mengi tu binafsi unaelekea kituoni unajua tu kwamba kabla ya kufika...
11 Reactions
111 Replies
12K Views
Mwanamke mmoja kutoka nchini Kenya anayefanyakazi katika shirika la ndege la Qatar, amewekwa bayana na mume wa mtu kuwa alikuwa akitaka kufanya naye mapenzi ili apewe fedha. Mwanamke huyo...
8 Reactions
75 Replies
18K Views
Nilimsikia Ummy mwaimu akisema eti wanaume waachane na watoto wa shule,visichana vyenyewe ndo siku hizi macho mbele vinatafuta vitu vya gharama kama cm nk,viko juu juu,na sisi wanaume vikituletea...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Assalam aleykum wanabody, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mwanzoni mwa mwezi huu nilitoa bandiko la kutafuta mke wa kiislam hapa japo nilipata pm kadhaa lakini hakuna aliyekua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam wadau, Kuna msanii mkubwa tu mwanamama ametangaza hadharani kuwa hajaolewa na angependa aolewe sasa. Umri wake kwa kuukadiria ni zaidi ya miaka 40, lakini pia wapo wengine unakuta wanaoa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Amini usimini ukijiona unamuonea wivu mke au mme wako bila sababu ujue unatakiwa ukachekiwa na dokta wa vichaa, kukumbatia sana hisia zako mbovu za wivu ndo unachofikiria kitakutokea kweli. Kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamusi na vitabu vyote duniani hakuna kilichokidhi kutoa maana ya neno (define the word woman) mwanamke hata biblia haikuweza kumueleza mwanamke ni mtu wa aina gani. Inasema mala nivigum kuish na...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Jaman kuna shoga mmoja nimemkuta facebook kaniomba urafiki sikujua kama ni shoga nimemkubali tu kaanza kunichunguza kwa kila nifanyalo nikipost kitu hakosi hata nikiweka nukta anakoment kaanza...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato: 1. Wachaga Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa...
3 Reactions
64 Replies
9K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naishi Dar natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiwa. Karbu PM kwa maelezo zaidi.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
```You saw him in a whatsapp group• U check his Profile picture.•He Drives A Range Rover Sport 2015..He is handsome. •He inboxed you. •You reply,all excited. •You'll want 2 hook up. •You set a...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi!, Kuna jambo la kunishangaza limenisogeza barazani, Nikihitaji mawazo yenu!. Ni hivi:- Nikiwa nimetulia Na shemeji/wifi yenu tukipiga story mbili tatu za weekend!, akanipa...
7 Reactions
109 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamvi, Nimekaa nikawaza sana kwanini wakaka mkiwa na umri wa miaka 32 hadi 35 mnakuwa wagumu sana kuwa kwenye mahusiano makini na yanayoeleweka? Unamwambia mpenzi wangu sasa kila...
12 Reactions
319 Replies
32K Views
Kuna mdogo wangu aliingia kwenye mahusiano na bi dada mmoja ambae alikuwa "ameachika". Hakuchi Hakuchi mwisho kunakucha, Penzi lilikolea kiasi cha kuamua kuchukuana jumla. Bwana mdogo akiwa katika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana Jamvi kwema, Niko Nyumbani kwa kina wife nimekuja kidogo kusalimia upande wa ukweni ni siku ya pili sasa nipo hapa ukweni, Wife anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta...
4 Reactions
124 Replies
17K Views
_________ 1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua... It's Over!!! _ 2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over! _...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wasalaam, mpo poa wana JF? Kama mishe asijaenda leo jikaze kesho zitaenda njema sasa hapa ipo kama hivi, nowdays vijana wa kisasa wanataka mapenzi lakini habari za kuoana hamna, yani hapa nasema...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijui ilikuwaje maana imetokea tu, msichana wa rafiki yangu ametokea kunipenda bila kutaraji. Ingawa kwa sasa wameshatengana na jamaa yangu, but nimekuwa sijaamini juu ya hili hasa uhusiano huu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom