Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.
Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka...
Basi wapendwa, namalizia ili sasa ujue kwanini kichwa cha habari kipo vile.
Baba yule akaniambia 'mimi sijali kwamba umekana humjui kimapenzi ila mimi nakuonya kama ulikuwa na mahusiano naye...
Ni hatia kumwangalia mwanamke kwa sekunde 14 India
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi ya...
Wakuu habari,
Nina mke na mtoto mmoja mkubwa. Sasa wife anamimba ya pili 3months.
Sasa amekuwa mkali na kununa sana. Pia amekuwa mchunguzi sana yaani haniamini. Kila siku hushika simu yangu na...
Wapendwa,
Asilimia kubwa ya wanaume walimu ni husband material, wana real love, hawana mambo ya hit and run, hawana usanii, ni watu wana haiba, wenye mioyo ya huruma, wanajua kuangalia familia...
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana.
Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
Marhabaan wana JF,
Natumaini nyote mu amul 'an takunuu jamieaan bikhayr.
Sasa bana kuna suala nilikutana nalo mwishoni mwa juma lililopita.
Mimi na bi mdogo [Kisura] tuliamua kutoka kwenda kula...
Tendo la ndoa limezungukwa na mambo mengi sana ambayo hata wataalam wa mahusiano na madaktari bingwa wameshindwa kuyamaliza. Tafiti mbalimbali zimekuwa zikija na matokeo mapya na hata kubadili...
Siku za hivi karibuni nmekutana na binti mmoja niseme ukweli nilimpenda, nilijitambulisha kwake japo alinijua kama rafiki wa rafiki yake. Alikuwa kabanwa kidogo na mambo yake, nikampa kama wiki...
Imebainika kwamba kuna ukweli mkubwa kuwa wanaume wenye kufanya mapenzi halali kwa wingi au mara nyingi huishi muda mrefu zaidi. Hii ina maana pia kwamba, labda wanaume wenye wake wengi huishi...
Wakati kila uchao watu hawalali kwa ajili ya kutafuta pesa na mambo mengine kuyachukulia kawaida tu, ukweli ni kwamba si vigumu kutajirika ila ni ngumu sana kupata mke safi. Wanawake wengi...
Wakuu poleni na majukumu,
Ni hivi hapa mtaani kuna msala wa jirani yetu, huyu jirani anagari lake suzuki escudo huwa kwa kawaida kila akirudi anapiga honi getini watoto wanakuja kufungua, kabla...
Habarini ndugu zangu,
Nimekuja hapa naiman Kuna wengi ambao wameshajeruhiwa sana na wamekata tamaa tena wengine wanawaza mabaya na hukumu juu ya aliemjeruhi. Lakini nawasihi Kuna nguvu na neema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.