Wanawake mlioolewa, jamaa akitaka mzigo mpe tu

Wanawake mlioolewa, jamaa akitaka mzigo mpe tu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Masistaduu wanaopenda kuolewa lakini wana mawazo mgando kwamba ile sio chakula, kwamba sex ni mateso na utumwa na kwanini nimpe kila siku, ukiwauliza wanasema kwani ndo kitu pekee jamani, kuna kwenda out, kuna kumfulia, kuna kupika.

Ningetaka kupikiwa si ningeoa mama ntilie jamani, acheni kuishi kwa (theory) jamaa akitaka mzigo mpe tu wala usilalamike jamaa anapenda kama kaona pipi, eti anaomba imekuwa nongwa, ndio nongwa kailipia hiyo ili aitumie, sasa unataka akamuombe nani?

Akitoka unaanza kulalama 'mwanaume hana shukrani hata umpe nini, wakati umempangia ratiba. Ni ushauri tu, ukiona nongwa usilalamike baadae maana nje kuna wasio na ratiba, hata sa 4 na saa 8 wao sawa.

We endelea kupika hadi kikuchachie..

Kwaherini
 
Masistaduu wanaopenda kuolewa lakini wana
mawazo mgando kwamba ile sio chakula,kwamba
sex ni mateso na utumwa na kwanini nimpe kila siku
Ukiwauliza wanasema kwani ndo kitu pekee
jamani,kuna kwenda out,kuna kumfulia,kuna
kupika...Ningetaka kupikiwa si ningeoa Mama Ntilie jamani,acheni kuishi kwa Theory,jamaa akitaka mzigo
mpe tu wala usilalamike jamaa anapenda kama
kaona pipi,eti anaomba imekuwa nongwa, ndio
nongwa kailipia hiyo ili aitumie,sasa unataka
akamuombe nani?? Akitoka unaanza
kulalama 'Mwanaume hana shukrani hata umpe nini,wakati umempangia ratiba.Ni Ushauri tu, ukiona
nongwa usilalamike baadae maana nje kuna wasio na
ratiba, hata sa4 na sa 8 wao sawa, we endelea kupika
hadi kikuchachie...Kwaherini
Na hiyo shida wanayo haswa, halafu eti wanajiuliza why wanaume tunachepuka. Mtu anakupangia ratiba, still ukichepuka ana mind. Yaaani Hawa viumbe ni wagumu Sana kuwaelewa.
 
Na hiyo shida wanayo haswa, halafu eti wanajiuliza why wanaume tunachepuka. Mtu anakupangia ratiba, still ukichepuka ana mind. Yaaani Hawa viumbe ni wagumu Sana kuwaelewa.
Inabidi Uishi nao kwa akili tu mkuu
 
Kuna mtu nilikuwa naye akawa hataki kabisa nile mzigo. Siku nikila ni kwa manati sana. Nikaona isiwe taabu. Nikaamua kuwa mbali naye. Akaanza kulalamika. Nikamwambia wazi kuws sitaki kucheat. Kama sipati starehe kwake ni bora nikae mbali naye nitafute mtu mwingine. Alitia akili.
 
Napenda thread zako Stunter maana you are realistic na unaongea mambo ambayo yapo [emoji106]
 
Kuna mtu nilikuwa naye akawa hataki kabisa nile mzigo. Siku nikila ni kwa manati sana. Nikaona isiwe taabu. Nikaamua kuwa mbali naye. Akaanza kulalamika. Nikamwambia wazi kuws sitaki kucheat. Kama sipati starehe kwake ni bora nikae mbali naye nitafute mtu mwingine. Alitia akili.
Hapo mkuu ulimuweza sana
 
Mkuu....
Haya mambo hua hayana formula, na kama kweli wewe ni mkunaji mzuri wa papuchi, usitarajie kupangiwa au kunyimwa aiseeee.
Sikuzote minasema.......
Ukimsikia mwanaume analalamika sana kuhusu mambo ya kitandani, basi ujue mwanaume huyo sio mchezaji mzuri aiseeee.
Na mwanamke wako ukiwa unamkuna hata kugusa pale panapo muharibu akili, basi popote na muda wowote atakua na utayari kukupa papichi[emoji12] [emoji12]
Kwanza ngoja nijiandae nikasali, maana huku ni kutiana genye hadi siku ya ibada aiseeee [emoji39] [emoji39]
 
Mademu wa sikuizi hawajui kukunwa, labda uwakune kwa kuwapa hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom