Kwa wanawake wenye akili: Kama huna akili usisome

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,212
Ukiona mpenzi wako amekuandikia meseji, ''nimekukumbuka sana, Ive realized I still love you and I miss you so much'', ametumia tu tafsida, maana halisi ya meseji yake ni,''ewe mpuuzi, nimemiss sana sehemu zako za (kinyume cha wazi)
sijaziona muda mrefu natamani kucheza nazo ngololo OR aringo.

Hawezi tu kukwambia straight kwamba alichomiss kwako ni sex tu, anapitia mlango wa uani ili atesti jinsi ulivyo mbulula, kubwa jinga, funga mlango wako wa uani na komeo la chuma. Komesha ujinga, nitakushangaa ukitumiwa
hiyo meseji halafu ukapata goose bumps, halafu ukaanza kujiambia 'auww hes
so sweet amenimisi'.

Ukiamini jiandae kugeuzwa ndafu ya harusi, harusi ikiisha huna thamani tena.
Dawa ya watu kama hawa, ukipata meseji yake mjibu hivi,''dear ex, tembelea zahanati iliyo karibu ukapimwe minyoo ya kinyarwanda'
 
Ukiona EX wako amekuandikia
meseji,''Nimekukumbuka sana,Ive realized I
still Love You and I miss you so
Much'',Ametumia tu Tafsida...Maana halisi ya Meseji yake ni,''Ewe Mpuuzi,Nimemiss
sana sehemu zako za (kinyume cha wazi)
sijaziona muda mrefu natamani kucheza
nazo Ngololo OR ARINGO Hawezi tu kukwambia
Straight
kwamba alichomiss kwako ni sex tu,anapitia mlango wa Uani ili atesti jinsi ulivyo
Mbulula.KUBWA JINGA Funga Mlango wako wa Uani
na
Komeo la Chuma.
Komesha Ujinga.Nitakushangaa ukitumiwa
hiyo meseji halafu ukapata goose bumps,halafu ukaanza kujiambia 'auww hes
so sweet amenimisi'.
Ukiamini jiandae kugeuzwa Ndafu ya
Harusi,harusi ikiisha huna thamani tena.
Dawa ya watu kama hawa,ukipata meseji
yake mjibu hivi,''Dear EX,Tembelea zahanati iliyo karibu ukapimwe Minyoo ya
Kinyarwanda'
Very true
 
labda ndio mambo yenu watoto wa .com
mm nikimyandikia huvyo ni kweli nimemMiss na ninampenda kweli
mnatanguliza mitusi halafu mkinyimwa mnatoa maJitusi mlango wa nyuma
Hao ni mama zenu mbona hawakufanyiwa hivyo?
kweli kuna kizazi na wajukuu
bora viroba na London whisky vipigwe marufuku
 
Unatokea mkoa gani ndugu?
 
Ukiona EX wako amekuandikia
meseji,''Nimekukumbuka sana,Ive realized I
still Love You and I miss you so
Much'',Ametumia tu Tafsida...Maana halisi ya Meseji yake ni,''Ewe Mpuuzi,Nimemiss
sana sehemu zako za (kinyume cha wazi)
sijaziona muda mrefu natamani kucheza
nazo Ngololo OR ARINGO Hawezi tu kukwambia
Straight
kwamba alichomiss kwako ni sex tu,anapitia mlango wa Uani ili atesti jinsi ulivyo
Mbulula.KUBWA JINGA Funga Mlango wako wa Uani
na
Komeo la Chuma.
Komesha Ujinga.Nitakushangaa ukitumiwa
hiyo meseji halafu ukapata goose bumps,halafu ukaanza kujiambia 'auww hes
so sweet amenimisi'.
Ukiamini jiandae kugeuzwa Ndafu ya
Harusi,harusi ikiisha huna thamani tena.
Dawa ya watu kama hawa,ukipata meseji
yake mjibu hivi,''Dear EX,Tembelea zahanati iliyo karibu ukapimwe Minyoo ya
Kinyarwanda'
Wewe Stunter ndo umenisababisha nimejiunga humu JF na Nyuzi zako...sijui mfundaji wewe maana unawachamba wa KE/ME i wonder we ni jinsia gani!..Curiosity
 
Ukiona EX wako amekuandikia
meseji,''Nimekukumbuka sana,Ive realized I
still Love You and I miss you so
Much'',Ametumia tu Tafsida...Maana halisi ya Meseji yake ni,''Ewe Mpuuzi,Nimemiss
sana sehemu zako za (kinyume cha wazi)
sijaziona muda mrefu natamani kucheza
nazo Ngololo OR ARINGO Hawezi tu kukwambia
Straight
kwamba alichomiss kwako ni sex tu,anapitia mlango wa Uani ili atesti jinsi ulivyo
Mbulula.KUBWA JINGA Funga Mlango wako wa Uani
na
Komeo la Chuma.
Komesha Ujinga.Nitakushangaa ukitumiwa
hiyo meseji halafu ukapata goose bumps,halafu ukaanza kujiambia 'auww hes
so sweet amenimisi'.
Ukiamini jiandae kugeuzwa Ndafu ya
Harusi,harusi ikiisha huna thamani tena.
Dawa ya watu kama hawa,ukipata meseji
yake mjibu hivi,''Dear EX,Tembelea zahanati iliyo karibu ukapimwe Minyoo ya
Kinyarwanda'
na uzuri wa wanawake wanaroho nzuri kweli,me ex wangu alinizinguaga nikamkimbiza na mkuki lakini leo kesho nikijidai l have missed ya baby,l still need ya...basi utasikia real?nasema yeah sweet heart utamuona dakika sifuri huyu hapa,mie hapo ni mgegedo tu then kila mtu na hamsini zake,watoto wa kike ni maneno tu yaan kuna viunganishi ukiweka kwenye mistari hachomoki vitu kama sweet,darln, your ma everything, my heart is yours hapo ujue unakula vitu
 
nimecheka sana Mkuu
 
Back
Top Bottom