Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana MMU habarini za J4, ndugu zanguni nimekuja humu kwa sababu moja kuu tu.Natafta rafiki wa kike(mchumba) ikimpendeza bwana aje awe mama watoto! Mtu huyu awe na miaka isiyozidi 27 na awe tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna vitu vinashangaza kwelikweli,unakutana na wanaume wazima kabisa na nyayo zao zenye magaga ya siku nyingi wanamuongelea msichana fulani kwamba napenda sana hela na anachagua wanaume wenye hela...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari wadau, Ni kama kichwa cha habari kinavyosema nimeuona na mie niandike yanayonisibu. Bila kupoteza muda mie nimehamia hapa kwenye hii nyumba ninapokaa sasa kama miezi minne sasa, na tupo...
4 Reactions
107 Replies
15K Views
Hellow guys Especially ukute hao watoto wa mwisho wamezaliwa na baba mmoja, mama tofauti, yani utakuta ndugu wakubwa waliozaliwa na mama mmoja wanamchukia mtoto wa mwisho aliezaliwa na mama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanamke anamuita mpenzi wake, Baby, njoo unifuate mjini nimekumiss, unatoka Tegeta unaenda Posta, unapita sheli unaweka mafuta, mengi tu, haya umemchukua mmeenda hotelini kupiga mechi ya...
13 Reactions
68 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka isiyopungua 20 na isiyozidi 25. lakini huwa najikuta nikiingia katika tamaa ya kupenda wamama wa kubwa hata kama atakuwa na umri wa zaidi ya miaka 50 mradi awe...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Zaidi ya watu wa 5 wameshakueleza kwamba jamaa hana time na wewe na ameshachumbia mtu mwingine hukuamini. Mungu sio Mwigulu Nchemba, siku 1 akiwa kwenye mishemishe za kuchepuka simu yake ikajipiga...
17 Reactions
58 Replies
6K Views
IMAGINE THIS... Maimuna ameolewa akiwa na miaka 30 lakini ametolewa bikira na fala fulani tu akiwa na miaka 16 akiwa anasoma Kisutu sekondari kwa chips-yai strategy. Tangia hapo amekuwa akichezea...
12 Reactions
66 Replies
10K Views
Unapanga na msichana mkutane hotelini kwenda kupiga mechi ya mchanga, anakwambia hana pesa ya nauli unamtumia nauli, anafika hoteli anaagiza msosi mnakula msosi wa wanguvu. Kidume unatoa pesa...
11 Reactions
79 Replies
7K Views
Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi. Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama...
22 Reactions
94 Replies
14K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Leo ni closet cleaning day! All skeletons out. The tortoise is coming out of its shell. Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo...
40 Reactions
182 Replies
17K Views
Mapenzi sio shape kuna wanawake wana shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara. Kuna wanawake hawana shape lakini kichwani wako very smart na wana...
9 Reactions
61 Replies
7K Views
Zamani ilikuwa rahisi kusikia wanawake wakihadithiana "yani my man ananiduu mpaka natamani nikimbie kitanda". Siku hizi hizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka 3. Wanaume kazi kushnehi tunawapa...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Wazee wa kususa susa, kitu kidogo unamnunia msichana wiki ili ubembelezwe wewe. Yaani unatafuta kasababu kaduchu ili unune wengine, eti wananuna kisa wamemuita msichana waende out msichana akasema...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna tabia moja siipendi unamtoa mdada out anakuja na shoga yake. Sasa cha ajabu mgeni rasmi anapiga malta mgeni mwalikwa anatandika st. Anna kama maji ya uhai. Mtuoneage huruma na sie. Ndio...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume yuko kwenye ndoa alafu anampiga mkewe na watoto alafu yeye huyo kwenye umalaya.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nasema hivi kwa sababu tangia nachumbia mpaka sasa nimeoa,mwanamke ni mzito sana kwenye mapenzi,anahitaji kubembelezwa,kupewa zawadi ,ahadi kibao ili akubari kufanya mapenzi,na Mara nyingi huwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom