RfSidhani kama kuna mwanaume asiyejua mchango wa hawa watu kwenye mazingira tunayoishi
Wengi hujikusanya na kukaa sehemu moja iwe guest house,nje ya madisco,viwanjani yani maeneo yao husika kwa...
Nipo kazini mara nasikia simu yangu ya mkononi ujumbe ukiingia, nachukua kuangalia ni nani na nini..nakutana na ujumbe huu na maagizo :-
Kuwa "wape wanandoa wote unaowafahamu ujumbe huu.
Mungu...
Profesa wa Saikolojia akiwa
anafundisha kuhusu
mahusiano, aliwauliza
wanafunzi wake. Kwanini
tunafokea na kukaripia
tunapokuwa tumekasirika?
Kwanini watu wanafokeana
na kukaripiana kwa sauti...
Kutokana na desturi za huko Sri Lanka bibi harusi ni lazima athibitishe kwamba ni bikira usiku wa harusi yake.
Kila bibi harusi hutakiwa kubeba kitambaa cheupe ambacho huwekwa chini wakati wa...
Katika pitapita zangu mtandaoni nikaona tangazo la muuzaji wa iPad. Nikasevu namba yake ili nimtafute nikiweka salio. Nilipocheki kwenye WhatSapp nikamkuta yupo tayari.
Tukaanza kuchati baada ya...
Hivi umewah kuwaza siku ikatokea ATM machine inatafuta mchumba au mke? aisee ndoa za watu wengi zitavunjika. maana hata walioolewa nao watajiachisha ili wakaolewe na ATM Machine. heeehh nyie wa...
STRESS NI NINI..?
Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!
Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo...
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke...
Hallow,
Kuna kaka flani ambaye tulipendana sana nilipokuwa form six. Kila mmoja alimpenda mwenzake sana kuna wakati flan alikuwa akija nyumbani kututembelea nami pia nilienda kwao na...
SOMA ZAIDI MAMBO YA MAPENZI NA MAHUSIANO KUPITIA HAPA
Wanaume huonekana kushangazwa sana na tabia ya wanawake kutopenda kuanzisha tendo la ndoa wanapokuwa faragha. Licha ya wanaume kutokuwa na...
Mwanamke unaolewa,hujui kupika, yani unapika mchuzi wenye ladha ya machozi alafu unajichekesha chekesha tu.
Wengine wavivu hata kupika hawataki ..ye kila saa simu tu utadhani anafanya biashara ya...
MDADA!
Mwanaume ni kama bata ukimchunguza sana huwezi kumla! Anakuwa na mambo mengi mabaya ya kweli na mengine ya kuhisi tu nakusingiziwa lakin as long as anakukuna vya kutosha na anaku care...
Nina mpenzi wangu niko nae kwenye mahusiano muda sasa lakini hatuishi pamoja bado tuko hatua za uchumba. Tatizo la huyu mpenzi wangu najitoa kumfanyia mazuri kiasi kikubwa lakini hawezi hata kutoa...
Habari zenu. Natumain wote wazima and mnaendelea vizuri na ujenz wa Taifa..
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hili swala,kwa nin wapenzi wetu wa zamani baada ya kipindi flani kupita ukija kukutana...
Kila leo naona mathreads ya watu wakilalamika:
1. kutelekezwa au kuachwa na waume/wake zao, hili ndio la kila leo, unakuta mwanamke au mwanaume anaongea kwa kulalama huku amejaa kisirani, ohoo...
Wakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali
Utazamaji wa picha za ngono mitandaoni
Daktari mmoja wa tiba ya maungo amesema kuwa vijana wadogo wanahatarisha afya yao ya uzazi kwa kuangalia sana picha za ngono katika mitandao ya kijami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.