Maandalizi kamili na ufaidi mapenzi kuwa msafi

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mapenzi ni ubunifu mapenzi hayana uchafu, mapenzi yanahitaji maandalizi ingawa wengine mnawapa shida sana wapenzi wenu kuwaandaa maana hamuandaliki. Unaweza kutamani kumuandaa vizuri kwa kushughulikia kila eneo linaloweza kufikiwa na maandalizi lakini ukajikuta umesita baada ya kukutana na taa za njano na nyekundu njiani ambazo zitakufanya uwaze sana kama maandalizi yaendelee au uache tu.

Kama kwenye masikio tu umekutana na nta lita 2 kama vile ana miradi ya kuuza asali Tabora vijijini. Shingo ina chumvi kama mfanyakazi wa uvinza. Kwapa linavibrate kwa harufu aina 4 zisizoeleweka halafu mtu anakwambia baby bwana na huku (kwa sauti ya puani) mmmh! Juu tu kuna majanga ya kitaifa tukifunua boneti si tutakutana na maombolezo ya mashujaa waliokufa vita ya majimaji? Hapana kwakweli. Ukitaka ufaidi maandalizi kamili na ufaidi mapenzi kuwa msafi. Natumaini nimesomeka.

Kwa hisani ya wazee wa maandalizi.
 
Mi huwa nikipishana na mtu ananukia kwapa njiani daah huwa nawaza hivi ndo angekuwa mupenzi akirudi home halafu anataka umpokee kwa kumkumbatia na kumbusu.........

Kuna ile unapishana na mtu ananukia uturi hadi unatembea hatua 5 mbele bado unasikia uturi wake, pia kuna ile unapishana na mtu ananukia kwapa yaani unatembea hatua 5 mbele bado unasikia kwapa daaah.... uturi na kwapa..... moja unatabasamu nyingine unaziba pua na kujizuia kuhema.

Hii inatokea kwa jinsia zote mbili.....
 
Hahahah... Ile ya kujizuia kuhema nimeshaifanya sana tu... Daah hakuna mateso makubwa kama kuwa na mpenzi mchafu
 
Mi huwa nikipishana na mtu ananukia kwapa njiani daah huwa nawaza hivi ndo angekuwa mupenzi akirudi home halafu anataka umpokee kwa kumkumbatia na kumbusu.........

Kuna ile unapishana na mtu ananukia uturi hadi unatembea hatua 5 mbele bado unasikia uturi wake, pia kuna ile unapishana na mtu ananukia kwapa yaani unatembea hatua 5 mbele bado unasikia kwapa daaah.... uturi na kwapa..... moja unatabasamu nyingine unaziba pua na kujizuia kuhema.

Hii inatokea kwa jinsia zote mbili.....
Hahahahhhaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uturi..ddddah!
 
Mi huwa nikipishana na mtu ananukia kwapa njiani daah huwa nawaza hivi ndo angekuwa mupenzi akirudi home halafu anataka umpokee kwa kumkumbatia na kumbusu.........

Kuna ile unapishana na mtu ananukia uturi hadi unatembea hatua 5 mbele bado unasikia uturi wake, pia kuna ile unapishana na mtu ananukia kwapa yaani unatembea hatua 5 mbele bado unasikia kwapa daaah.... uturi na kwapa..... moja unatabasamu nyingine unaziba pua na kujizuia kuhema.

Hii inatokea kwa jinsia zote mbili.....
Kwahiyo babyto unataka unambie hili vuzi ambalo lishapata rangi ya brown nikalinyoe?? Manake mara ya mwisho kwapa langu wakati likitoa jasho zito kama maziwa mtindi ulinigombeza nikaliswafi

Nambie kabisa nikanoe kwanja.

I miss u, ndo ujue sasa.
 
Hahahahahahahahahahaaaa babuuuu Sam

Wacha nijipangilie Sept 1st tukutane Rodizoo, nina hamu ya kula nyama pori au wasemaje?

Mi nataka kusikia ile harufu yako ya nyama......
Nimemiss mahanjam yako.....
 
Ombi la Kasie ni amri kwa big Sam.

Ee Mungu, twakuomba utusikie.
 
Back
Top Bottom