Mchumba
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 280
- 262
Hebu wana MMU tuliongelee hili kidogo sijui kama lina ukweli wowote.
Eti bidada akiwa mpishi mzuri wa chakula yaani kina ladha nzuri, kuna watu wanadai kuwa hata kitandani pia anakuwa ni mtamu hivyo hivyo kama chakula chake.
Wajuzi wa hii kitu naomba kuuliza kuna kaukweli hapa au ni projo tu?
Kama ni hivyo nikajiunge kozi kabisa ya mapishi vyuoni huko lol.