Ushauri: Nakinai kufanya mapenzi

Ushauri: Nakinai kufanya mapenzi

biasmar

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
25
Reaction score
26
Jamani habari zenu,

Naombeni ushauri about hii kitu,

Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni kwamba huwa nakuwa na hamu sana ya kusex nae lakini akija tukishafanya just once nakinai kabisa and nakua totally bored, sometimes huwa nakuwa mkali every time he touches me, na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya, but sijui nini tatizo na hapo mwanzo sikuwa hivyo.

Please guyz nishaurini.
 
Jaman cjawh kufikiria kuchepuka ever since nimeolewa na wala cna mchepuko even god knwz if u wish kuadvice do it lakn cio kujaj na kuconlude basng on ur thouts its not far
 
Una upungufu wa kitu kinaitwa haskimo na dawa yke mm ninayo,Pole sana utapona
 
Kama jamaa ana performance nzuri basi tatizo ni la kwako...huenda humpendi na umekosa emotional connection na yeye...pia kuna mambo yanaweza kuwa sababu kama una mzio/allergy na wazungu wa jamaa yako au unahitaji ushauri wa msaikolojia.
 
Wat I meant ni kwamba anajua kumridhsha mwanamke ipasavyo ndo mana nkasema zaid Ya!!!
 
Wat I meant ni kwamba anajua kumridhsha mwanamke ipasavyo ndo mana nkasema zaid Ya!!!

Unapolinganisha kitu maana yake kuna kitu zaidi ya kimoja.Sasa ukituambia zaidi 'ya' unatuacha hewani ndo maana huwezi kupata ushauri mzuri.
 
Una tatizo la Kum miss Mmeo halafu anakuwa hayupo na una hamu Nae sasa inaenda unakuwa ushazoea ndo man hata akija huna mzuka nae Hongera kwa Kujitunza angekuwa mwingine hapo kashatafuta mchepuko
 
Jamani habari zenu,

Naombeni ushauri about hii kitu,

Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni kwamba huwa nakuwa na hamu sana ya kusex nae lakini akija tukishafanya just once nakinai kabisa and nakua totally bored, sometimes huwa nakuwa mkali every time he touches me, na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya, but sijui nini tatizo na hapo mwanzo sikuwa hivyo.

Please guyz nishaurini.

Humu ni kazi kupata majibu.
 
Punguza pupa wakati wa singeli! Ukipiga round ya kwanza tulieni kidogo mkicheza cheza na kupiga stori za mapenzi, mda si mrefu utajikuta unahitaji tena! Inaonesha tendo huwa unalipania sana, tena nahisi kabla ya bao la kwanza huwa kichwani mwako unapiga hesabu za kupiga hata round nne bila halftime!
 
Jamani habari zenu,

Naombeni ushauri about hii kitu,

Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni kwamba huwa nakuwa na hamu sana ya kusex nae lakini akija tukishafanya just once nakinai kabisa and nakua totally bored, sometimes huwa nakuwa mkali every time he touches me, na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya, but sijui nini tatizo na hapo mwanzo sikuwa hivyo.

Please guyz nishaurini.
Shida yako kubwa ni wivu huwa unahisi mambo unayopewaga labda kuna wangine wanayapata kila siku mwisho unaanza kumchukia baada ya tendo kufanyika,njia jiamini kuwa upo wewe tu anaefaidi mautamu,usimuwazie mabaya mwezio utafurahia hata akikupa raha zaidi ya mara moja utaitaji zaidi na zaidi
 
Back
Top Bottom