Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.
Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona
Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?