STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,264
Tafuta Mtu ambaye UNAMPENDA na UNAMTAMANI kila unapomuona. Kama unapenda inye basi tafuta mwenye inye. Maswala ya kujifanya umezama dimbwini na mtu"A liye Anguka Bafuni" halafu ukikumbana na inye roho inakupaa sio dili...FALL FOR YOUR TYPE!
Na kwa wadada, kama unapenda tango tafuta mwenye nalo akuoe. Suala la kujifanya umezama kwenye penzi la mtu mwenye "Kipele cha Bamia" ukikohoa tu kinachomoka halafu ukiona jamaa zipu imeshiba udenda unakutoka sio dili....FALL FOR YOUR TYPE!