Habari za jumapili wana MMU,
Napenda kuuliza jambo moja kuhusiana na hii dhana ya hizi marriage anniversaries.
Lets say ulifunga ndoa miaka 50 iliyopita, lakini baada ya kufunga ndoa, mlikaa...
"Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE:
Utanielewa tu.......Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko...
Ukiwa katika mahusiano ya umbali yani we upo Dar mwenzio yupo Mbeya, hakika utaishia kumegewa kama sio kusaidiwa.
Ushauri, achana na mapenzi ya umbali.
Wadau ukifika uwanja wa fisi Republic utafikiri haupo Tanzania Ngono nje nje kuanzia 1,000/= Bila Kondom 3,000/=, Kabang (0713) 5,000/= Danguro hili lipo mita kadhaa toka kituo cha POLISI Tandale...
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,
maana ujinga wangu ndio...
Hichi kitu kimesahaulika na wazazi wengi "chakula cha ubongo wa mtoto"...
Wazazi wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao mahitaji ya chakula,mavazi na maladhi, ndio wanahitaji hayo lkn unajua deni...
Hello unaeamka na thread yangu,naomba ushauri juu ya huyu mwanamke,anaweza asinitafute hata kwa mwezi mzima na ukimtafuta yeye anakujibu majibu ya mkato,mfano unaanza "habar za hasubui" anakujibu...
Angalizo: Sifundishi watu ndumba kila mtu ana uhuru wake na wote tu watu wazima ninachofanya ni kushiriki ninachokifahamu.
Mapenzi ni kitu kinachoendesha dunia kwenye ulimwengu wa roho na hisia...
I mowed the lawn today, and after doing so I sat down and had a cold beer.
The day was really quite beautiful, and the drink facilitated some deep thinking.
My wife walked by and asked me what I...
Wadau habari zenu?
Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana...
Najiuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anacheat zaidi ya mwenzake?
Inaonekana wanaume wengi tunaamini Ss ndio kila kitu na tunacheat hadharani na pia madhara yake ni madogo...
Kuna wanaume wanachepuka to the extent wanawathamini michepuko kuliko wake na familia zao..
At this point huwa mna expect nini kutoka kwa hao wake zenu mnaowamistreat?
Imenilazimu kuandika haya kutokana na mambo ya kweli kabisa niliyoyafanya katika maisha yangu.
Mwisho wa mwezi huu natimiza mwaka mmoja katika ajira, ila kinachonisikitisha hakuna cha maana...
C& P lakini yenye fundisho. Jitahidi kusoma hadi mwisho????
KISA CHA LEO; KAMA WEWE NI MZAZI HAKIKISHA UNASOMA (Hiki ni kisa cha kweli nilichokutana nacho, majina niliyotumia na baadhi ya mambo...
Shangazi yangu aliniambia ukimtilia mwanaume Libwata usha uua, yaani atakufa mapema, na kukuacha na watoto peke yako. Au ndio usha mlemaza akili, hawezi kuwa mwanaume kamili, na atashindwa kufanya...
Ladies and gentlemen,
Nimekaa mentor nikafikiri nikatafakari hivi kwa nini bado sijaoa..infact kwanini hata plans za kuoa sina?
Ni jana tu nimetoka kumtumia classmate wangu mchango wa harusi...
Ukiwa mbali na nchi, yaani Tanzania, wakati mwingine life linazingua sana na unaanza kutafuta kujimix angalau na wabongo wawili watatu ili kubadilishana mawazo na kukumbushana mbili tatu za...
Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mme wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la...
Habari zenu wana JF,
Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekuwa bize sana na kuchati katika magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mimi au mtoto...
Mnisamehe tu maana najua kuna watu wakiona tu bandiko langu mioyo yao inakunjamana."jamaa kabandika tena aargh..." msini mind mimi mengi yananipata na mengine nasimuliwa maana najichanganya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.