Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

kimbweridede

Member
Jul 11, 2015
12
19
Habari zenu wana JF,

Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekuwa bize sana na kuchati katika magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mimi au mtoto anakaa sebuleni mpaka saa 7 usiku akija room anakuta tulishalala na mtoto saa nyingi. Then Siku nikimgusagusa anageukia ukutani anajifunika gubi asubuhi anaanza kusema oh kichwa kinauma Mara alijisika tumbo linauma yani kama anaua soo hivi.

Niliwahi kumkuta na msg za mapenzi akadai kwamba mimi ni mpekuzi nisimfwatilie kuanzia hapo kaweka simu zake zote password.

Kwa kifupi kawa mkorofi ukitaka kuchat naye anakujibu short hataki maongezi marefu, imefika akitaka kusafiri hata hakuambii utasikia tu anakwambia Leo nitaenda South. Ndoa yetu ina miaka mitatu now lakini nina miaka miwili sijaitwa jina zuri kama mpenzi mke wangu nk achilia mbali kuwa mimi namwita majina mazuri, namfulia, nampasia,nampakia vizuri nk.

Amekua mbinafsi shoping anafanya yake tu na mtoto mimi hata bodyspray hakuna wala hela ya matumizi haachi kwa kuwa ananipa laki na nusu kila mwisho wa mwezi ninunulie kila kitu.

Mimi ni mwanamke mzuri, nina hofu ya Mungu na elimu ya degree ndoivyo tena ajira hamna, nikimwomba hela ya mtaji nifanye biashara anasema hana hela na wakati hela anazo tu na mimi naziona.

Nianyaje ndugu zangu naumia sana kwani tulipendana sana na tulifahamiana vizuri miaka mitatu kabla ya ndoa. Je niachane na hii ndoa nikaishi tu kivyangu maana nimechokwa vibaya kiasi cha kukata tamaa sasa.

Asanteni naomba ushauri utakaobadilisha haya maisha yangu.
 
Habar zenu wana JF

Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekua bize sana na kuchati ktk magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mim au mtot. anakaa sebulen mpaka sa 7 usiku akija room anakuta tulishalala na mtot sa nyingi. Then Siku nikimgusagusa anageukia ukutani anajifunika gubi asubuhi anaanza kusema oh kichwa kinauma Mara alijisika tumbo linauma yaan kma anaua soo hivi.

nliwahi kumkuta na msg za mapenzi akadai kwamba mim ni mpekuzi nisimfwatilie kuanzia hapo kaweka cimu zake zote paswd.

kwa kifupi kawa mkorofi ukitaka kuchat naye anakujib short hataki maongezi maref, imefika akitaka kusafir hata hakuambii utasikia tu anakwambia Leo ntaenda south. ndoa yetu ina miaka mitatu now lkn nna miaka miwil sijaitwa jina zuri km mpenz mke Wang nk achilia mbali kua mim namwita majina mazur, namfulia, nampasia ,nampkia vizuri nk

amekua mbinafsi shopin anafnya yake tu na mtto mim hata bodyspray hakuna wala hela ya matumiz haachi kwa kua ananipa laki na nusu kila mwisho wa mwezi ninunulie kila kitu

Mim ni mwanmke mzur, nna hofu ya Mungu na elimu ya degreeila ndoivo tena ajira hmna, nkimwomba hela ya mtaji nifanye biashara anasema hnna hela na wakati hela anazo tu na mim naziona

nianyaje ndugu zangu naumia San kwani tulipendana sana na tulifahamiana vizur miaka mitatu kabla ya ndoa. je niachane na hii ndoa nikaishi tu kivyangu maana nimechokwa vbaya kiasi cha kukata tamaa sasa. asanteni naomba ushauri utakaibadilisha haya naisha yangu.
Umekaa nae mkaongea?

Mimi ningekupa ushauri kama ningesikia na kwa upande wake pia..
 
Ukijua chanzo cha hali hii itakuwa rahisi kutatua tatizo.
Vinginevyo itakuwa kama kutibu malaria bila kuwashughulikia mbu.
Pole sana. HUU NI UPEPO TU, UTAPITA - JK
 
Dada yangu pole sana , najua situation ur in na jinsi unavyojisikia, nakuomba sana anza kumuombea ni ngumu najua lkn husije ukaacha kumwombea na kuzidi kumpenda pamoja na hayo mapungufu..mwambie kwa upole kuwa wote hao waliopo watapita ila wewe ndio mke wake na ya kwamba utatoa hesabu husiposimama na kumwambia ukweli, am sure atajisikia vibaya na siku utaona anabadilika MUNGU akupe neema ya kuvumilia na kumpenda zaidi..Ubarikiwe sana
 
Huyo ni mume wako,piga maombi sana inawezekana ameshikwa na nguvu za giza ameanza kutojitambua.Hii hutokea mara nyingi na tuna mifano ya kutosha,mwombee kwa Mungu aishiwe pesa huyo a ayempenda sasa hatampenda tenalakini mwombe Mungu akupe kazi kwani kupata kwako kazi kutafanya usiwe iddle hapo anakudharau kwa kuwa anajua huna pa kwenda na una mtoto mdogo na kamwe usilipize kisasi mtaumia wote
Ustawi wa familia ni Mwanamke,likabili na ukilivuka hilo jaribu utakuwa next level na mumeo atakuheshimu tu
 
Umemaliza
 
amina nashukuru sana kwa huu ushauru nitaufnyia kazi
 
Dada yangu pole sana , najua situation ur in na jinsi unavyojisikia, nakuomba sana anza kumuombea ni ngumu najua lkn husije ukaacha kumwombea na kuzidi kumpenda pamoja na hayo mapungufu..mwambie kwa upole kuwa wote hao waliopo watapita ila wewe ndio mke wake na ya kwamba utatoa hesabu husiposimama na kumwambia ukweli, am sure atajisikia vibaya na siku utaona anabadilika MUNGU akupe neema ya kuvumilia na kumpenda zaidi..Ubarikiwe sana

Asante barkiwa san
 
Pole my dear, hayo mambo yanazungumzika tu baina yako na yeye so ni vema ukae mkazungumza. Lakini jaribu kujichunguza wewe upande wako uko vipi kabla ya ndoa yenu, kabla hajabadilika na sasa hivi ukoje sababu wakati mwingine baadhi ya wanawake hali ya kujisahau huwa inawakumba baada ya kuzaa. Hapo kwenye hela ya mtaji nahisi unakosea timing ya kuomba na jinsi ya kuiomba pesa hiyo sababu hakuna mwanaume mchoyo kama ukifanya timing vizuri.
 
Pole sana dada najua unavyojisikia muite ongea nae muulize nn shida nn umemkosea na usiache kupiga goti kumuomba Mungu ambadilishe pamoja na kufunga hilo ni pepo limemkamata sehem Mungu akutie nguvu
 
pole sana kwa unayopitia jaribu kutumia busara hata kuwatumia rafiki zake wa karibu ili uweze kupata utatuzi wa hili jambo kama amekuchoka au lah
 
pole sana Binti kwa changa moto hizo unazozipitia katika ndoa yako Mpendwa wangu.

Kwanza kabisa kabla ya kuanza kumtupia lawama Mume wako.

Haza kujihoji nafsi yako Mpendwa, nakwambia hivi kwa sababu ukijenga tabia hii utaishi maisha yenye Amani na Furaha sana.

Fikiria kwamba Bwana Yesu Alikuja kututafuta sisi wenye Dhambi Je! alitupata hau hakutupata?

Jibu Alitupata.maana hakujehesabia haki yeye bali alitufuata na kutubembeleza japo sisi tulikuwa na Makosa ya kumwasi Mungu.

Na ule upendo wake wa dhati ulituvuta kuacha Dhambi na kumfuata Yesu na kuwa viumbe vipya.

Hivyo basi kabla ya kuona mapungufu ya mume wako, jinyenyekeze Mbele zake na hakika utamrejeza kwa hekima hiyo mpendwa wangu.

Ukijenga tabia hiyo hakika utakuwa mama bora sana na utakuwa mfano wa kuigwa na mumeo atakupenda sana na kubadilika.
 
Loh sio kweli nyie wa kileo mnahangaika na mambo yasiyo ya muhimu mnasahau kabisa kama mmeshaolewa
sio wote wapo wanojitambua na kuwapa waume zao kila kitu Ila wanaume wengine jamani hawatosheki llooohh!

huko nje basi hilo chepuko halikuzidi hata kwa kucha!

tulieni wababa familia zinawahtaji looohhh!!
 
Back
Top Bottom