Hamna chanzo chochote wanaume uwa hamridhiki na wake zenuTuanze na chanzo cha kumfanya achepuke alafu ndio tuje katika mada uhusika.
Zipo,hakuna jambo linalokosa sababu husika.unazikwepa tuuh!Hamna chanzo chochote wanaume uwa hamridhiki na wake zenu
wengine hawana sababu..ni tabia tu za kishenziTuanze na chanzo cha kumfanya achepuke alafu ndio tuje katika mada uhusika.
wengine hawana sababu..ni tabia tu za kishenzi
HaswaaaaHamna chanzo chochote wanaume uwa hamridhiki na wake zenu
Ni wajinga tu....
Anamuumiza mkewe kisha akirudi anakula chakula chake..... analala nar kitandani
..
Akiumwa atauguzwa nae....
wengine hawana sababu..ni tabia tu za kishenzi
Acha tu....Naona hii thread mtaishambulia hadi basi
Uzinzi ni uzinzi tu....hauna sababu wala jinsia....Lakini wanawake ndo wana sababu nzito?
kama zipi?Lakini wanawake ndo wana sababu nzito?
kama zipi?
kwa kweli sijui cuz i've never thought of doing such a thing to my partner.That was a question
kwa kweli sijui cuz i've never thought of doing such a thing to my partner.
hata siikumbuki was ipi!? [emoji23]Avatar ya mwanzo was better....