Tufahamiane tuliopo miji mbalimbali duniani

Tufahamiane tuliopo miji mbalimbali duniani

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Ukiwa mbali na nchi, yaani Tanzania, wakati mwingine life linazingua sana na unaanza kutafuta kujimix angalau na wabongo wawili watatu ili kubadilishana mawazo na kukumbushana mbili tatu za kibongobongo, pia kufahamiana, kutengeneza network au urafiki, partnerships, kupeana madili (channels), n.k.. Maana kuna watu wana uzoefu na mbinu mbalimbali za jinsi ya kuendesha au kufanya mambo, sio mbaya pia ikiwa urafiki, kati ya ke na me ukaishia kujenga familia.

Hata kama upo Sumbawanga, wewe sema tu, hata kama ni kijiji gani huko ndanindani, watu tunazunguka, tutakutana tu.
 
Back
Top Bottom