harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,361
Najiuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anacheat zaidi ya mwenzake?
Inaonekana wanaume wengi tunaamini Ss ndio kila kitu na tunacheat hadharani na pia madhara yake ni madogo ukilinganisha na wanawake, wake zetu wakifanya hivyo angalia mfano mdogo tu wa Mkemia mkuu wa serekali baada ya kupima 41percent ya watoto tunaolea sio wetu na hilo limeleta mtafaruku kwenye vipimo vya DNA kiasi cha kuweka mlolongo kwa wanaohitaji kupima.
Mzee mmoja alipima akakuta kati ya watoto watano anaosomesha wawili tu ndio wake wale watatu ni mpango kando.
Kwa takwimu za Mkemia Mkuu inaonyesha wanawake wanaweza kuwa juu zaidi in cheating kulinganisha na wanaume kinachotokea wanaume wanacheat kwa sauti... Kugaramia nyumba ndogo Kwa kila kitu
Mtoto akizaliwa kutake responsibility zote
Kujisifu kwamba una watoto kadhaa
Ila mwanamke anacheat very silence anakudanganyia watoto na hutojua miaka nenda rudi.
Nawasilisha