Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zanguni wanaJF najitokeza hapa kwa Mara nyingine! Mm natafta mchumba/ mke, Elimu yangu ni degree na nina miaka 29. Kwa sasa nipo mtaani nahangaika na maisha, sijaajiriwa ila sijachoka bado...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana. Karibu PM
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Kubaka watoto na kulawiti watoto tatizo ni nini? Wsichana wameisha? Tabata mtoto wa miaka 3 amefariki kwa kutaka kulawitia chooni! Alikabwa na kusababisha umauti, jana watoto wawili wamekufa kwa...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
SIFA ZAKE:Awe na umri kati ya 18------24,anaejitambua BINAFSI:mm ni mwanachuo na mjasiliamali MWONEKANO:mref ,rang brown af slim kiaina. Yoyote mwenye sifa hizo anakaribishwa Ncheki kptia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Natafuta mchumba ili baadae aje awe mke, awe na umri wa miaka 22-27, awe angalau amemaliza form 4 (sababu hapa ni kuwa huyu pamoja na kuwa mchumba/mke atakuwa mshauri wangu au...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 31, degree holder and good looking. Niko hapa kutafuta binti wa kitanzania mwenye umri usiozidi miaka 31 ambaye yuko tayari kwa long term relationship kabila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweweeeeeeee! Mi nakerekaaaaaa sanaaa unapokutana na mkaka, ambae obviously ni FREE P, he has nothing to put on the table than MARRIAGE OFFER. HAHAHHAAAAAA! It is really...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wadau wote hapa Nafurahi kuwepo tena jamvini kuwaletea mambo mapya yahusuyo MAHUSIANO MEMA kumekuwepo na vitabia vya ajabu kati yetu wanadamu hususan wale walioko kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
@arusha,baba mngoni,mama mchagga Nawasalim wana JF Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wasalaam, Leo baada ya kuona mamaa amebanwa nikaamua kumpeleka mtoto Clinic ili kujua maendeleo yake ya kila mwezi. Kweli nimejikuta baba niko peke yangu na nikapewa nafasi japo foleni ilikuwa...
3 Reactions
7 Replies
920 Views
Habari za usiku mabibi na mabwana, Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi. Msema ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara...
22 Reactions
244 Replies
26K Views
Ndugu wapendwa wana jukwaa, Awali ya yote niwashukuru wote waliotoa mawazo yao kipindi cha mwanzo nilipoleta thread inayosema Mama mkwe amevunja ndoa yangu MREJESHO:… Kutokana na mambo...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Nimefuatilia mara nyingi nimekuja kujiridhisha kuwa hiki kitu kina ukweli... WANAWAKE WAREMBO *Wanapofikia wakati wa kuolewa basi uangukia pabaya sana ujikuta wanaolewa namtu ambaye simzuri kwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Unampenda msichana kabisa kutoka moyoni unajipanga unamtongoza anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years utamsikia, ''Oh my Ghosh, ur still a kid, mi nadate guys who are 45 years...
13 Reactions
65 Replies
10K Views
======== Update; Nimempata nililiyekuwa namtafuta.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nilikuwa na girlfriend ambaye nilimtoa usichana wake, lakini kadri nilivokaa nae niligundua kwamba maumbile yake yana maji sana, nilishindwa kumvumilia kwa kweli ingawa nilimpenda sana nikaamua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama...
20 Reactions
182 Replies
22K Views
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu. Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama...
1 Reactions
136 Replies
13K Views
Janga la pili duniani baada ya jehanum ya moto, ni ndoa mbovu...Kosea kuvaa nguo ya ndani kichwani...Usikosee kuoa au kuolewa.. Nani kasema ndoa ndoano labda kama umeoa au umeolewa na samaki..
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom