Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mawaziri wa ulinzi hii ya miaka miwili iliyopita. na vimini vyetu Kutoka kushoto kwenda kulia : Norway, Sweden, Netherlands, Germany.
2 Reactions
0 Replies
947 Views
Endelea… Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu. Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba kila mwanamke anaeolewa yule ambaye anamuoa wanakuwa hawajakutana kimwili katika kipindi cha mahusiano kwa karne hii? Na kama ni kweli kwanini kuna msemo watu wengi wanadai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kuachana na mwanaume akawapa namba yake wanawake wengine. Namba ya wanawake kila siku anapokea calls za namba mpya za wanawake hao pia na massage niongezee hela.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ewe bidada usiku unageuka bundi kisa mapenzi, Mara unakonda kisa umepigwa chini, ooh sijui wataka unywe sumu kisa huna npenzi, looh ntampata wap Mume Mie kisa umri umeenda. Shida yote hiyo ya...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari? Jaman hivi inakuwaje mwanaume kakuoa, ila hajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke, au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima...
2 Reactions
84 Replies
7K Views
Habari yenu wakuu, Katika haya mahusiano kuna mambo Mengi, Kwenye mapenzi usidanganywe na maneno sijui babe, sweet, honey. Mimi huwa nawaangalia tu. Ogopa sana wanawake wanaojifanya wanaweza au...
13 Reactions
35 Replies
9K Views
Habarini za leo watu wa MUNGU, Kuna jambo nahitaji ku share nanyi limenisumbua usiku kucha nimeshindwa kulala kwasababu nimekosa majibu ya usaidizi kwa lilitokea kwa maisha ya rafiki zangu...
3 Reactions
93 Replies
11K Views
Mbeya. Serikali imepanga kusambaza bure kondom 21 milioni nchini kuanzia leo ili kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi . Kaimu Mkurugenzi katika Mpango wa Kudhibiti Ukimwi , Wizara ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Haka katabia ka dada zetu ka kugawa tigo kameshamiri sana maeneo mengi. Na wengine wanajisifia kabisa eti wanaume wa siku hizi ukitaka uwakamate sharti uwape tigo na wengine unakuta wameolewa na...
23 Reactions
221 Replies
42K Views
Ninahitaji mke aliye serious mm ni mwajiriwa serikali elimu yake kuanzia form 4 na kuendelea awe tayari kupima afya awe mkristo atokee Mkoa wowote kabila lolote awe na umri wa miaka 18-23umri...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Zamani ilikuwa ukienda na totoz gesti au kwenye hizi hoteli za Sinza, walikuwa wanachaji kwa chumba. Lakini siku hizi naona mtindo umebadilika. Wanachaji kwa kichwa. Chumba cha 80,000 kwa mtu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
*Nimenakili mahali;* Asubuhi mume alimuuliza mke wake, ulilala wapi? Mke akajibu amelala kwa rafiki yake wa kike. Mume akawapigia simu rafiki wa mke wake 10, lakini wote walikataa hakulala...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar es Salaam. Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na...
22 Reactions
413 Replies
40K Views
Stori za hapa na pale za kuhusu kutemwa na wasichana tulio wapenda na nini kilikuwa chanzo chake, Nikiwa na wadau wenzangu mara mmoja wetu alianza kutuadithia kisa chake na kusema walipendana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo ambayo nimekuwa nikijiuliza na mara nyingi sipati jibu. Hata napowauliza wahusika hawanipi majibu mujarabu nikawaza ngoja leo nishirikiane na ndugu zangu humu ndani. Wanaume hatupendi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tulikua katikati ya maongezi na demu wangu,akaniuliza hivi kabla ya mimi ushawai kuwa na mademu wangap kabla?,,nikataka kujua kwanini ameniuliza,akanambia anataka anifahamu zaidi. Sikuwa na haya...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini wadau, Mejifikiria nikaangalia dunia ya sasa nikaona wanadamu sisi sisi ndo tunaiharibu. Leo mtu anaweza badilisha uhalisia wake kisa mtu. Msimshangae mtu kajichubua mtu kawa mlevi mtu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
BABA WAWILI September 2005 "Sikuambii ili umchukie baba yako," alianza kunieleza mama yangu, "nakueleza ili uchukie alichokifanya," aliendelea. Nilikuwa kidato cha sita. Nilirudishwa nyumbani...
20 Reactions
56 Replies
8K Views
Faridi akiwa na mchepuko wake katika bar moja maarufu, Mara sim yake inaita. Ni doctor ambaye familia zao zilikuwa na urafiki mkubwa ndiye alikiwa akimpigia. Faridi baada ya kupokea simu haamini...
1 Reactions
1 Replies
876 Views
Back
Top Bottom