mm kuna dada mmoja ni ofc mate wangu, nilikuwa napga mandingo kumbe anamshikaji wake yuko huko tanga, yule demu nikawa napga kama nimeoa vile, mnamo mwezi wa 9 mwaka jana akawa amenasa mimba yangu, mwezi huo huo mume wake akaja kumtembelea kwa hiyo tukasitisha kidogo. yule jamaa alikaa hapa kama wiki moja hivi harafu akang'oa kurudi zake tanga, jamaa alipofka nyumbani demu akamrushia msala kuwa anamimba yake, jamaa kwa kuwa anamwamini demu akaipokea tena kwa furaha sana, mwezi uliopta demu akaenda kujifungulia nyumban kwa mshikaji, bahat nzur mtoto ni wakiume na yule dada amenambia anafanana sana na mm, nasubiria amalize likizo yake ya uzazi mwezi ujao aje nimlee mwanangu.