Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NDEGE WA PELIKANA: HADITHI YA BIBI Mimi na mama yangu tuna kitu kimoja tunachofanana. Sote tuna jino moja lililomegeka. Tofauti – kubwa – huja pale tutakiwapo kuelezea sababu ya kumegeka huko...
10 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi ni msichana, nina biashara zangu, nilikuwa na maisha yangu akatokea mpenzi tukapendana, mapenzi yakakolea nikahamia kwake, pika pakua tunaishi kama mke na mume. Mawazo yangu tutaoana lakini...
9 Reactions
146 Replies
12K Views
PM au nicheck kwenye hii mail: Meu760@gmail.com
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari wapendwa, Namshukuru Mungu kwa uzima nilio nao hadi wakati huu najua na wewe unasababu yako ya kumshukuru Mungu. Kuna hili jambo mwenzenu linanikera sana kwa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za siku tena wana jamvi Katika pita pita zangu nimekua nikikusanya data hasa hasa hizi za mahusiano kwa vijana wadogo kuanzia miaka 20-26. Nimekutana na hii kisa kwa nini wasichan wengi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Last year nilikutana na x wangu mmoja ambaye tuliachana 2004. Hii ilikuwa 11 years tangu tuachane. Ki ukweli x wangu alionekana amechoka na mtu wa mawazo sana. Baada ya kumdadisi niligundua kuwa...
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Nikweli kua pombe inaweza kukupatia mke au mume bora?!,maana nilisikia kwa mtu mmoja anasema mlevi akiongea jambo linatoka moja kwa moja moyoni(hilo mi sijui maana situmii) ,nikipata mwanamke bar...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Jambooo JF? Kifupi mimi hupenda kujifunza na mara nyingi kupitia JF hupenda na wenzangu wajifunze ili twende sawa! Unapokuwa kwenye ndoa ogopa sana mwenza wako akikuaga anasafiri kwenda mkoa...
10 Reactions
117 Replies
18K Views
Yvonne K. Fulbright Ph.D...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari!... Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda. Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo; 1. Kutafuta...
6 Reactions
74 Replies
13K Views
Bado natibu majeraha Simu yangu iliita nami nilipoitoa mfukoni nilikuta ni rafiki yangu tunayefanya naye kazi pamoja kwenye kampuni moja ya mitandao hapa hapa mjini, sema yeye yupo upande wa...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
MSALABA Nilipata fursa ya kwenda nyumbani kwa ajili ya sikukuu ya pasaka. Haikuwa rahisi kupata ruhusa hii ukizingatia uongozi wa sasa wa hapa kazi tu. Ila, bosi wangu hakuwa na budi kuniruhusu...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
KWA HERI BARIADI…KWA HERI TEDDY 2014, September 28th ‘Men are from Mars and Women are from Venus’ ukurasa wa 154. Nikiwa nimepumzika nyumbani kwangu nikijisomea kitabu hicho katika lengo langu...
32 Reactions
177 Replies
18K Views
30 June 2014 Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema, ‘Ng'ombe wa masikini hazai. Akizaa hufaa. Asipokufa basi dume. Kama jike, tasa!' Leo nimeugundua ukweli wa huu usemo. Jumamosi, 07...
31 Reactions
272 Replies
23K Views
Karibu Mjini Imeishazoeleka unaposafiri kutoka mkoani (najua wa mikoani hatupendi kweli kuitwa hivyo) kwenda jiji la wajanja, Daslam, lazima upewe mualiko wa kukukaribisha mjini. Ni kawaida sana...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Yani mimi ni mfupi sana, pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi, ila nawapenda wasichana warefu sana, kinachonisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu. Hivi...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
Habari za humu wadau. Kuna dada mmoja nina uhusiano nae kama mwaka hivi. Ni mzuri na ni mtafuataji sana. Kiukweli bila unafiki naamini kabisa ananipenda tenda kwa dhati kabisa. Wakati tunaanza...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Wakuu, Hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara...
7 Reactions
77 Replies
11K Views
Back
Top Bottom