Habari,
Nipo katika Mahusiano na girlfriend wangu for almost 2yrs+ now, sasa nikaamua nimjaribu kwa namba ngeni as a joke bt najua kabisa ananipenda kwa dhati kwasababu tupo katika Mahusiano ya...
Hivi kwanini waanzilishi wa haya mambo ya ndoa waliona ni bora kuona koo kwa koo au zaidi ya hapo na sio ndugu kwa ndugu, pengine ndoa zingedumu maana maisha ya ndoa ya sasa ni zaidi ya vita...
Kuna jamaa tunafanya nae kazi nje ya mkoa wa Dar ameoa (ndoa ya kikristo) na ana watoto wa 3 mke ni mfanyakazi katika taasisi moja ya kibenki. Huyu mke jamaa ndio kamsomesha kuanzia degree mpaka...
Habari za weekend wana MMU
Hapa nilipo nimetoka kusuluhisha mgogoro mzito sana wa rafiki zangu kipenzi!
Ishu yenyewe iko hivi!
Mke alisafiri na kumuachia simu mume wake yaani walibadilishana simu...
Habari zenu wa JF,
Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea.
Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara...
Wana JF Umuhofia kwenu,
Nimeona nililete kwenu hili, siku za nyuma kizazi cha JK, wakina dada walisumbua sana kutupima uwezo kama hakupendi au kabla ya kumpata awe amekupukutisha kila kitu...
Habarani wadau....
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.
Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa...
Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila...
Nadhani topic iko wazi mimi ni mzanzibar mwenye asili kiarabu miaka yangu 37 nina mke moja elimu form four kazi fundi wa simu nimrefu maji wa kunde mnene kidogo.
Sifa za mke ninae mtaka ni awe...
Mnawaza kuwa na mahusiano na mwanamke mwanaume kipindi upo njema ukawa unamsaidia sana mpenzi wako kwa kila kitu mahitaji yote. Inawezekana mwanaume ukayumba kidogo ukawa hata huna kazi na kipindi...
Salamu wa MMU leo inabidi nikiri na kutubu kabisa labda hali hii itaweza badilika. Story ni hivi wakati nipo chuo fulani jijini Dar, mwaka wa pili nilitokea kumpenda binti mmoja aliyekuwa mwaka wa...
Juzi kati nilikua Ubago mesi kwenda kuchangamsha akili sasa kwa bahati nzuri nilienda na dem wangu, kukatokea simtofaham tukapis,hana kiswahili na dem wangu nikajitenga nae, sasa kwa bahati...
Kwa wanaume ambao mnahisi hamuwatoshelezi wake zenu ipasavyo jaribuni kukaa na wake zenu muwashauri waache kuchepuka badala yake watumie ARTIFICIAL PENIS {nyeti za kiume bandia}...hii itawasaidia...
Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home...
Habari!
Poleni na mihangaiko na shughuli za kusaka riziki.
Leo nna kitu kimenishtusha sana. Hii imenitokea leo katikati ya tendo na girlfriend wangu. Na imenishtusha sana.
Katikati ya tendo...
Nimezoea kupika wali jiko la mkaa hapo zamani .. Sasa nimeanza kujipikia mwenyewe tatizo Nikipika wali kwa jiko la gesi ukianza kukaukia nikiutoa either utakuwa umeungua au mbichi hauliki.. Nipeni...
Kuna dada mmoja anaitwa Kasinde alikuwa anajimudu sana kifedha alikuwa na majumba na magari mengi ya kifahari, kutokana na hali ngumu ya maisha aliyokuwa nayo chinchilla coat aliamua kumfuata...
Mimi nimtu mzima miaka yangu 37 ninamke na Zanzibar elimu form four kazi fundi wa simu, ninahitaji mke huko mainland au Tanzania bara awe muislam ana swali bila kuhimizwa, awe mrefu mwembamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.