Taarifa zangu;
-Nina miaka 28,
-Kidato cha 4 & Cheti cha ufundi,
-Mwembamba,
-Sio mweusi,
-Sio mfupi,
-Najishuughulisha na uendeshaji wa pikipiki,
-Kipato changu hakizidi laki 4 kwa mwezi,
-Sipendi shari, usumbufu, kudharauliana, uroho na uongo.
Mchumba anayehitajika:
-Umri kuanzia miaka 20-24,
-Elimu Kuanzia kidato cha 4 hadi shahada,
-Asiwe mwembamba sana,
asiwe bonge sana (maana sana inaboa),
-Asiwe flat,
-Asiwe mweusi,
-Awe na shughuli/awe tayari kufanya shughuli halali,
-Awe mwerevu na msikivu tunapoelekezana,
-Inapotokea tumeyumba kiuchumi awe na imani (mvumilivu),
-Asiguse kilevi chochote.
-Awe mwajibikaji wa majukumu yanayomhusu.
Mahitaji muhimu tutapeana,
Penye shida ni lazima tutasaidiana,
Ila tabia ya kuombanaombana hela ovyo bila sababu za msingi haitavumiliwa.
Nimepanga Bunju, Dar.
Tuwasiliane PM kwa aliye tayari.