Naomba ushauri, kuna binti ananipenda ila mwanaume wake ametangaza vita juu yangu

Animal Keeper

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
348
282
Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila kujua na mimi ni mkatili.

Mtoto anapenda swaga zangu maana kidume nna sauti nzito ya kumtoa unyevu binti yeyote. Hivyo basi binti ameanza kunitangazia shida zake eti mipango yake mingi inagonga mwamba kisa hana pesa.

Alafu akinicheki mimi nazungumzia maswala ya kubadilisha kadi ya benk
Kiufupi nilimwambia nitazimaliza shida zake. Hapo ndipo aliporegeza jicho ila mimi na wasi wasi na boy huyo ambae nae anamke wake.

Sasa kwanini ana ni mind kupendwa na yeye ana mke wake?

Ushauri please.
 
We ni Animal keeper you'll figure a way out.... If you know what I mean!
 
bado warembo wanagombaniwa kitaa hatari sana.....nasa ritaha kweli...
 
Kwa uandishi huo inaonekana ni muoga ndomana umekimbilia humu kuomba ushauri ungekuwa kidume kweli ungekuja na Uzi wa kuomba msaada usemao "nimemjeruhi boyfriend wa demu wangu yupo ICU au kalazwa hajitambui"

Pcha lipo episode 2
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa Moyo wotee
Nchi yangu Tanzania Niamkapo ni heri Mama wewee, Nakupenda kwa Moyo wotee

Tanzania ya viwanda tumeamka
HAPA KAZI TUU
 
Wazinzi wakikutana hapaharibiki kitu. Muite huyo mzinzi mwenzako mshauriane.
 
Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila kujua na mimi ni mkatili.

Mtoto anapenda swaga zangu maana kidume nna sauti nzito ya kumtoa unyevu binti yeyote. Hivyo basi binti ameanza kunitangazia shida zake eti mipango yake mingi inagonga mwamba kisa hana pesa.

Alafu akinicheki mimi nazungumzia maswala ya kubadilisha kadi ya benk
Kiufupi nilimwambia nitazimaliza shida zake. Hapo ndipo aliporegeza jicho ila mimi na wasi wasi na boy huyo ambae nae anamke wake.

Sasa kwanini ana ni mind kupendwa na yeye ana mke wake?

Ushauri please.
Yani unavyoongea kwa mikwara.. Kumbe kuna boya anakusumbua na ukidume wako
 
me ukintishia hivo dawa nampitia huyo mtu wako tu..maana mwanaume akili muhimu kuliko miguvu katika mahusiano ....jamaa alikuwa nannpiga mkwara na kunitishia akiwa namwanamke wake ...kilichofuata after one week mwanamke wake alikujakwangu nkamaliza....so vitu vingine si vya kutishia....we fanya yako tu
 
Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila kujua na mimi ni mkatili.

Mtoto anapenda swaga zangu maana kidume nna sauti nzito ya kumtoa unyevu binti yeyote. Hivyo basi binti ameanza kunitangazia shida zake eti mipango yake mingi inagonga mwamba kisa hana pesa.

Alafu akinicheki mimi nazungumzia maswala ya kubadilisha kadi ya benk
Kiufupi nilimwambia nitazimaliza shida zake. Hapo ndipo aliporegeza jicho ila mimi na wasi wasi na boy huyo ambae nae anamke wake.

Sasa kwanini ana ni mind kupendwa na yeye ana mke wake?

Ushauri please.
Pole sana kijana coz nyota yako ya UKIMWI ndio inaanza kung'ara. Na kwa sababu huyo mwanamke ameshakuona ni wa type zile................. ndio sababu analeta swaga ili akukamue vya kutosha kibonde wewe.
 
Anzaa kutembea na kilainish tuu mfukon maana 40 yakoo itakapotimiaa hutakuwa na namna tena. Nakuchorea tuu gap
 
Back
Top Bottom