mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Nadhani topic iko wazi mimi ni mzanzibar mwenye asili kiarabu miaka yangu 37 nina mke moja elimu form four kazi fundi wa simu nimrefu maji wa kunde mnene kidogo.
Sifa za mke ninae mtaka ni awe muislam vipindi 5 vya swala bila ya kuhimizwa, awe mrefu mwekundu mwembamba elimu formsix diploma au chuo awe ana uzoefu wa computer au simu kuijua vyema maana nataka kumpa ujuzi wa ufundi wa simu.
Makazi yetu itakuwa Tanzania bara. Kingine awe mpole asiwe jeuri wala muongo hatutawezana, awe napenda watu wafanikiwe sio wapate hasara hata ikawa unamtoto sio shida.
Asiwe muajiriwa