Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwanamke aliye na ujuzi ,hodari,uzoefu wa kuwa na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mwanamke kwa muda mrefu. Tafadhali anahitajika...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
nahitaj counselor wa mambo yaa mahuusiano naweza mpta humuu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Bwana Yesu asifiwe! Mzuri Kuwa mzuri kwa mtu au unaposema yule ni mzuri Mara nyingi huwa tunaangalia maumbile au muonekano wake wa nje. Na hapa ndo vijana wengi wanapomtazama mwanamke kwa nje...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. **** I asked God for a rose and He gave me a...
0 Reactions
11 Replies
35K Views
Moyo Moyo wangu wathamani watangatanga njiani, Nakosa wa kumueka ndani wanawake visirani, kutwa washinda manjiani umbea kwa jirani wasichana wadogo washindwa ya chumbani, Wanipa tafarani kumpata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kawaida leo mtu kuwa na marafiki pasipo kufikilia tabia mbaya za hao maRAfiki zilizojificha, si kila mtu unaweza kumtambua mambo yake machafu maana wengine huwa wachafu haswa wa tabia lakini...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA: 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
15 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanaume wakati wa kuchagua life partner kigezo mmojawapo huwa ni kwa namna gani mwanamke analimdu tendo la ndoa, flexibility, usafi, size. Swali langu kwa wadada je katika vigezo vyenu does the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukitaka kujua kama MKEO/ MPENZI WAKO anakusachi MIFUKONI ukiwa umerudi nyumbani, wewe weka CONDOM mifukoni utapata Jibu. Lazima uamshwe.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Waislamu Asalamu ghaleikhum Wakrito Bwana asifiwe Wasiyo na dini habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyosema nina Mke. na nilikuwa na mchepuko mtaani si munajua Mapenzi Mtaani Ndoa ni...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wana MMU, Hili suala nimelifikiria kwa kipindi kirefu sana., naona mifano mingi kupitia kwa marafiki zangu na hata ndugu zangu na watu wangu wa karibu. Unakuta mwanaume upo kwenye...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Umekutana na msichana wako faragha mmeanza kunjunjana ndani ya dakika tatu anakutoa anakwambia amechoka hataki kuendelea tena. ana maana gani sasa?! Mimi nilijua hutokea kwa wanaume tu ,kumbe...
1 Reactions
1 Replies
827 Views
Nimependa kuuliza hili swali maana kila kukicha post zinakua nyingi, kuna nyingine kweli zinatia ukakasi ila zingine hazina shida. Mwanadamu mwenzio atatoka mbali, hujui kimempata nini anakuja...
2 Reactions
9 Replies
977 Views
Nimechanganyikiwa sielewi hata nifanyaje, mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yoyote nimechanganyikiwa. Naombeni ushauri.
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Ninahitaji mke awe na umri wa miaka 20-23 umri wangu 25yrs awe tayari kupima afya nina mtoto 1 elimu walau form, mimi nimeajiriwa serikalini. Aliye tayari anicheki 0745645518
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Njoo rafiki yangu kalamu, Uziandike hizi salamu, Zimfikie wangu muhimu, Juu yake ninayeugua. Muda ndo huu umeshatimu, Nami nazidi pata wazimu, Hata kula sina tena hamu, Kwa jinsi ninavyomuwazia...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Wapendwa hivi hii ni kawada kweli au ndo zama za haki sawa,wife anadai ana mambo mengi ya kuwaza na kufanya so ni mhimu tupange ratiba ili awe anajiandaa mapema,kiakili,na mengineyo,amekuwa...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Hivi si niolewe tu? Mbona maisha magumu kiasi hiki? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa we ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee unga umeisha mchele umeisha basi. Sasa sisi...
21 Reactions
323 Replies
22K Views
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam wadau, Hebu tuachane kidogo na mambo ya UKUTA. Huo uliporomoka jana baada ya kuwashwa kwa tingatinga. Sasa bana, ni hivi...na hapa nazungumzia kwa wanaume ingawa hata kwa wanawake inaweza...
10 Reactions
161 Replies
14K Views
Back
Top Bottom