AINA NANE ZA WANAUME HATARI
1-Asiependa kufanya kazi akisubiri alishwe na mke.
Huyu ni hatari kwa sababu hatokuwa na ujasiri wa kumkemea mke pale anapokosea kwa kukhofia mke asije kasirika na...
Natafuta MWANAMKE Anaeumizwa sana na kusumbuliwa mno na MAISHA YAKE YA UPWEKE WA KUWA MWENYEWE PEKE YAKE NA SASA AMECHOKA KABISA NA HALI HIYO NA SASA ANAITAJI MUME WA MAISHA YAKE.Mimi pia...
Nna mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa, miezi miwili iliyopita ofisini nilibaatika kupata nafasi ya kwenda ughaibuni kufanya short course training...
Habari wanajukwaa napenda kutumia haki yangu kama ilivo dhima ya jukwaa hili binafsi napenda kuweka wazi kwamba natafuta msichana wa kuoa na sitanii kama wengine wafanyavo umri miaka 27 ni...
Leo ni siku ya kuzaliwa mama Bavaria.
Huwa nakumbuka mengi kuhusu mama, vimbwanga vyote nilivyofanya nikiwa mdogo.
Ni moja kati ya wanawake 'strong' sijawahi ona. Pamoja na kubanwa na majukumu...
Habari wandugu,
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 25, nina mke na mtoto mmoja. Nmeajiriwa.
Kitu pekee ambacho sikipendi katika maisha yangu ni UGOMVI. Lakini kibaya zaidi familia yangu imetawaliwa...
Wakuu
Ni mara nyingi sanaa mpenzi wangu amenikuta nikiingia JF hasa jukwaa la siasa, ingawa yeye hajawahi ingia na hata kusoma habari yoyote JF, na mara nyingi huwa ananiuliza huu mtandao...
Wakati flani nikiwa chuoni miaka kadhaa nyuma, nilikuwa nimekaa na jamaa yangu tukipiga story mbili tatu juu ya mahusiano. Katika mengi aliyoyaongea kuna sentensi moja huwa...
Kama wadada wangekuwa wanatumia muda wao mwingi kufanya mahusiano yao na Mungu kuwa mazuri kama wanavyotumia muda kupamba miili yao basi nisingetarajia kuona foleni ya wakina dada wakiombewa...
Wasichana wasagaji aisee ni wazuri hatari balaaaaa! Usishangae ukikutana na demu mkali anakwambia 'I am single' ukashtuka ni kweli yuko
singo upande huu ila upande ule anamiliki wanawake kama wa 4...
Yaani leo nimepata tabu sana mara baada ya mrembo flani hivi amazing kuja kukaa siti moja safari tulikuwa tunaanzia Masasi hadi jijini Dar. Aisee akiacha mtoto nyumbani unaweza kukataa kama...
Wakuu mkasa huu umetokea Jana maeneo ya hapa Keko. Nilikuwa nasubiri kitimoto yangu taaraibuu. Si unajua mdudu huyu bhanaa, huwa anapikwaa maeneo kidogo ya mafichoo. Sasa nikiwa nasogeza safari...
Wanaume mna matatizo gani, nina rafiki yangu ameolewa ndoa ndo kwanza changa ina mwaka tu, mwanzo mapenzi yalikua matamu baby baby nyingi mawasiliano usiku kucha SMS kila saa.
Ila walipofunga...
Nimezaliwa kwenye familia halisi ya kikurya ingawa kwa sasa nina elimu yangu na kazi yangu nzuri
Tatizo kule kwetu panga ni kitu cha kawaida kama watu mnavyotembea na simu barabarani ndivyo na...
Wana MMU,
Bado hii inaniumiza kichwa, kwa nini wanawake wachukue ubini wa mume kisha kuolewa, mf my wife eti anaitwa Stella Jumong S, what is the motive behind?
Je, mume anakuwa baba wa mke...
Mtu mna miaka kama miwili hivi ni Marafiki hamuwasiliani na hata mkionana barabarani mnaishia tu kupungiana mikono ya salamu halafu leo anatarajia kuona bila hata aibu au haya ndiyo anajifanya...
Habarini wapenzi.... Ni takribani miezi miwili sasa baada ya kumfumania aliekuwa mpenzi wangu na mwanamke mwingine wakiivunja amri ya sita bila woga...na kujikuta kuyachukia mapenzi kwa kiasi...
Habari wadau
Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwanamke aliye na ujuzi ,hodari,uzoefu wa kuwa na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mwanamke kwa muda mrefu.
Tafadhali anahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.