Unapotongoza jipange usimuharibie mtu

Unapotongoza jipange usimuharibie mtu

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Juzi kati nilikua Ubago mesi kwenda kuchangamsha akili sasa kwa bahati nzuri nilienda na dem wangu, kukatokea simtofaham tukapis,hana kiswahili na dem wangu nikajitenga nae, sasa kwa bahati alikuepo mwanajeshi mmoja ambae tunafahamiana ikawa ile hali anaiyona.
Nikatafuna sehemu nikajiweka huku yule dem nikimuacha akiwa na yule mjeda.
Wakati nimewaacha na yule mdada kumbe mjeda alishamtamani yule dem wangu, akamwambia maneno kibao kuhusu Mimi kwamba nakuja na wanawake mesi halafu nawatelekeza ilihali sikweli, ukweli ni kwamba kuna siku nilienda peke yangu kujirusha sasa akatokea dem na kunieleza kwamba watu wamemuibia pesa zake, nikamwambia hiyo mwambie MP, hakumwambia ilibidi anisumbuwe mimi huku akiwa kalewa nikajaribu kumpotezea.
Nilichogundua yule dem hakuibiwa nia yake kunisumbua mimi maana hakuwa na mtu, kila kona ninayopita ananisumbua ikabidi nimpige mkwala kwamba akithubutu kunifata nitamchapa, akapunguza kero.
Sasa ile hali ndo aliyomueleza dem wangu kwamba nilikuja na dem mwingine, nilichukulia poa kwa kitendo alichonifanyia yule kamanda, habari hiyo alinipa dem wangu baaada kumtafuta siku ya pili. Kumbuka kwamba usiku ule yule
mjeda alijitolea kumpeleka dem wangu kwa kutegemea atakula mzigo njiani, sasa bwana yule akampa dem wangu 50,000/= za matumizi siunajua magu ilikua keshawamwaga!!! dem wangu aliniambia alikataa kupokea ila akamtupia na kumuomba namba za sim dem alimpa ya tigo ambayo haitumii sana stories yote alinipa dem jamaa hakunambia.
Sasa rafiki akaanza kujishuku akawa ananitafuta huku akijimamasa na kuniuliza vipi mbona toka juzi sijakuona au bado una hasira za dem wako? Nikamjibu hapana ila kilichonikera in kile kitendo cha kumtongoza kupitia kuniponda Mimi webungeendelea kivyako, basi kama vile alishituka alijua yule dem hatonambia, basi yule jamaa mjeda kila nikikutana nae nakua namtania kumwambia vipi dem wako unawmsalimia?
 
Na ww ni mwanajeshi mkuu? Kama ni Mwanajeshi - ndio una andika huu utumbo mitanadaoni naomba Syllabus yenu ibadilishwe haraka sana. Badala ya kutengeneza Mabomu ya kulipua Alishabab yata anza kutulipua raia.
 
Na ww ni mwanajeshi mkuu? Kama ni Mwanajeshi - ndio una andika huu utumbo mitanadaoni naomba Syllabus yenu ibadilishwe haraka sana. Badala ya kutengeneza Mabomu ya kulipua Alishabab yata anza kutulipua raia.
Mimi kazi yangu tofauti na hiyo mwanajeshi mi rafiki tu.
 
Kwahyo umekuja kusemelea huku si umwambie tu ukwel au unaogopa kibano cha mjeda
Usjal siku hz hawapig sana wale
 
Kwa uandishi huu acha tu mjeda amtongoze demu wako.
 
Wewe,huyo the so called demu wako na huyo mwanajeshi mna umri gani?
 
Hujui wanawake...kamkatalia ndomana kakuambia, waliomla hajakueleza.....u can't understand woman so easily like that...pambafu
 
Back
Top Bottom