Nina miaka 29.. Natafuta Mume aliye serious na mwenye hofu na Mungu ..awe Mkristo umri kuanzia miaka 30-35.
Sipo kwaajili ya kujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali.
Aliye tayari anipm.
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya uzinzi na baba mkwe wake. Kwa kweli nilishtushwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu...
1. Elegance: Elegance is that dignified grace about your appearance, movement, personal style or behavior. To be elegant is to be strong and assured in who you are and to move gently within that...
Mimi ni muajiriwa sehemu flani japo kidogo ninachopata naweza kusongesha maisha. Sasa tatizo nina mpenzi ambae nimedumu nae takribani mwaka sasa lakini tatizo lake kwao wanamchunga sana kiasi...
Wakuu,
Mimi ni mgeni kwenye ndoa, nina kama mwaka mmoja hivi tokea nimuoe mke wangu. Lakini kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa ombwa hela na ndugu wa mke wangu...
Aisee wapenzi wa siku hizi wamekuwa wajanja sana, yani anakuchana kabisa anakupenda ila ana mtu wake, kazi kwako kukubali au kukataa kwa siye mababu kukataa kazi sana mabibi wakijileta bure bure...
Najitokeza katika safu hizi za JF kuhitaji msaada katika hili;
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nilitokea kumpenda sana binti mmoja naye akakubaliana nami, tukapendana sana tena kwa...
Sasa hiv ukitembea wanawake 28 kati ya 30 utakaokutana nao wanachura na hips vya uhakika na kuvutia
Iv kweli siku hizi robo tatu ya wadada wanazaliwa wanashape zao
Nilizoea kukutana na wadda...
Habari wapendwa,
Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana...
Je hii ni sawa? Kwa mfano labda umemlaumu na kumuadhibu kwa kosa ambalo ukaja kugundua kwamba hakulifanya na alijaribu kujitetea kwako kwamba yeye hakulitenda lkn ukampuuzia na kumuadhibu!
Je...
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.
Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba...
Alikuwa mwanamke mzuri, yes mzuri haswa hakustahili kuwa gerezani tena akitumikia kifungo cha miaka 15 jela na huku akiwa ameshatumikia miaka 11.
Akiwa na huzuni na msongo wa mawazo akapitisha...
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na...
Habari za Jumapili wanajamvi,
Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.
Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko...
Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu
Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana ...
Wana JF
Habari zenu,nimejaribu kuliangalia kwa ukaribu suala la magruop ya WhatApp hasa ya watu wasiojuana personally,kuna michepuko huko acha kabisa.
Magruop yanarahisisha mtu kupata namba ya...
Finding a husband is hard...
1.You find a handsome one, the brain is
empty.
2.You find a brilliant one, he looks too
serious.
3.You find a rich one, he is disrespectful.
4.You find a hard-working...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.